Mwaka 1996 MV Bukoba ilizama baada ya kuelea kwa masaa 7. Ndipo waokoaji feki wakaja na wazo la kuitoboa meli, maji yakaingia na watu zaidi ya 800 wakafariki. Uzembe wa serikali ya CCM.
2011 meli ya Spice Island ilizama kwenye mkondo wa Nungwi lkn mifumo ya taarifa za usalama wa vyombo vya majini ya nchi zote 2 (Zanzibar na Tanganyika) haikuweza kujua mpk pale Al Jazeera ilipotangaza masaa 11 tangu meli kuzama. Kati ya abiria 610 ni 250 tu ndiyo waliookolewa. Uzembe wa serikali ya CCM.
2022 ndege ya shirika la Precision Air ilipata ajali na kuanguka ziwa Victoria . Waokoaji wwaliopata mafunzo wakawa nchi kavu wanaivuta ndege kwa kamba, wanaogopa kuingia kwenye maji.
Wavuvi akina Majaliwa wakajizolea umaarufu kwa kuvunjq dirisha la ndege na kusababisha maji kuingia na kuua abiria 19. Uzembe wa serikali ya ccm.
Kinachoendelea Hanang ni kupiga selfie wala siyo uokoaji. Ni muendelezo wa uzembe ule ule uliyofanywa kwenye majanga ya nyuma.