Mbona hata viongozi wa cwt wanalipwa kwenye payroll hiyohiyo kwani wanafundisha?
Nadhani Bwana/bibi minamba hajui kama JF uwanja wenye majibu ya kila kitu labda siri za watu mioyoni mwao!kwa taarifa yako JF ni zaidi ya wizara ya elimu au utumishi kama hujui kitu funga bakuli lako usijidai kuweka vinamba utadhani mleta mada kakuomba namba..
Hivi tunao miongoni mwa moderators? My thought was this is a free and independent forum!Hii thread itadumu kweli humu jamvini?
Usalama nadhani watachimba biti muda si mrefu hasa kama ni habari ya kweli.
Nadhani Bwana/bibi minamba hajui kama JF uwanja wenye majibu ya kila kitu labda siri za watu mioyoni mwao!kwa taarifa yako JF ni zaidi ya wizara ya elimu au utumishi kama hujui kitu funga bakuli lako usijidai kuweka vinamba utadhani mleta mada kakuomba namba..
Majibu ya maswali haya yatapatikana Nov 2015 baada ya kuwamwaga hawa manyang'au.
Viongozi wa CWT wanafundisha na wanalipwa na serikali ispokuwa wale wa kuajiriwa kama Makatibu wa Wilaya, Mikoa na Katibu Mkuu pamoja na wahasibu (watendaji) Wenyeviti wanachaguliwa so wanaendelea na ajira zao na wakimaliza kipindi chao wanabaki walimu wa kawaida. Nenda pale Benjamin Mkapa High school ukathibitishe kama Gratian Mkoba hafundishi.Mbona hata viongozi wa cwt wanalipwa kwenye payroll hiyohiyo kwani wanafundisha?
Likizo ya Malipo? Tena ya miaka 10? Never, hakuna kitu kama hicho. Likizo yenye malipo ni ugonjwa, likizo ya mwaka (siku 28), likizo ya dharura haizidi siku 14, likizo ya uzazi (maternity na Paternity leave-siku 84/3) likizo ya masomo (Study leave) na Sabbatical leave (miezi 12). Likizo ya zaidi ya hapo ni likizo bila malipo (leave Without pay) ambayo hutolewa na Katibu Mkuu Kiongozi kupitia kwa Katibu Mkuu Utumishi (Establishment). Kama ni miaka 10 itakuwa ni likizo bila MalipoNilisikia ana likizo ya malipo kwa miaka kumi.
Mwaka 2008, juni niliwahi kuambiwa mtumishi wa Wizara ya Fedha kuwa Mwl Salma japokuwa si mtumishi wa Serikali lakini bado alikuwa anapokea mshahara toka Serikalini. Yaani mshahara ulikuwa unaingia katika account yake.
Miezi kadhaa baada ya walimu kuingia mgogoro na Serikali kupitia CWT, ulianza mkakati/zoezi la kuhakiki walimu hewa. Minong'ono iliendelea kuhusu Mwl Salma
Swali la msingi ni lini Mwl Salma aliondolewa/aliacha kulipwa na Serikali kama mwalimu (mtumishi wa serikali)?. Ikumbukwe alianza kuingia kwenye kampeni za Uchaguzi mkuu toka Septemba 2005.
MUHMU:Kama hujui lolote pita kimyakimya, wako wenye majibu ama dokezo/dondoo zitakazotupeleka kwenye majibu.
Hivi tunao miongoni mwa moderators? My thought was this is a free and independent forum!
ni kosa la mwajiri wake.mwajiri wake ambaye ni halmashauri alipaswa kkumuandikia barua ya kutoonekana kazini na baadaye kusitisha mshahara wake.hata kama ni mimi nikiona mwajiri ananipa mshahara bila kufanya kazi nitakaa kimya.
Viongozi wa CWT wanafundisha na wanalipwa na serikali ispokuwa wale wa kuajiriwa kama Makatibu wa Wilaya, Mikoa na Katibu Mkuu pamoja na wahasibu (watendaji) Wenyeviti wanachaguliwa so wanaendelea na ajira zao na wakimaliza kipindi chao wanabaki walimu wa kawaida. Nenda pale Benjamin Mkapa High school ukathibitishe kama Gratian Mkoba hafundishi.
Back to the topic, kama Salma analipwa mshahara ni kosa la Mwajiri, yeye ndie anayemlipa mtumishi asiyekuwepo kazini ingawa kama Mke wa Rais alipaswa kuwajibika kutoa taarifa. Kiutaratibu alipaswa kuandika barua ya kuomba ruhusa isiyokuwa na malipo (Leave Without pay) au kuacha kazi kwa mujibu wa taratibu zilizopo.
Narudia alumiwe Mkurugenzi wa Halmshauri yake na Hazina ambao wanatoa mishahara hewa na Ofisi ya Celina Kombani (menejimenti ya Utumishi wa Umma).
Likizo ya Malipo? Tena ya miaka 10? Never, hakuna kitu kama hicho.
Likizo yenye malipo ni:-
Likizo ya zaidi ya hapo ni likizo bila malipo (leave Without pay) ambayo hutolewa na Katibu Mkuu Kiongozi kupitia kwa Katibu Mkuu Utumishi (Establishment).
- ugonjwa
- likizo ya mwaka (siku 28)
- likizo ya dharura haizidi siku 14
- likizo ya uzazi (maternity na Paternity leave-siku 84/3)
- likizo ya masomo (Study leave)
- Sabbatical leave (miezi 12).
Kama ni miaka 10 itakuwa ni likizo bila Malipo
Hakika wewe ni Mnyamahodzo (mwenye mawazo), lakini yenye akili. Kuchukua mshahara au malipo kwa kazi usiyofanya ni makosa kisheria na unaweza kushtakiwa na kufungwa au kulazimiak kulipa. Salma kama Mwajiriwa aliyeacha kazi anapaswa kuwa wa kwanza kuwajibishwa kama bado analipwa mshahara. Mambo yanayohusu Utumishi ni ya Mtumishi husika pamoja na Mwajiri wake, wote wawili wanawajibika. Ila kama ni kweli anaendelea kupokea hizo laki 3 za Ualimu basi nchi hii kuna wafanyakazi hewa wengi ingawa najua itakuwa ni kwa makusudi tu.Kwahiyo mlolongo wa lawama uwe hivi:
1. Mwalimu Salma kwa kutofuata utaratibu ( huku akijua kwa hakika kuwa anakwenda kwenye shughuli za kisiasa katika ofisi kubwa nchini)
2. Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni (kutozingatia taratibu za ajira)
3. Wizara ya Fedha/HAZINA (kwa kuendelea kutoa mshahara hali jina la mpewa mshahara linajulikana si la mtumishi wa umma ikiwa pia wanayofursa ya kuhoji taarifa za mihusika)
4. Waziri wa Nchi Menejimenti ya Utumishi wa Umma ( kwa kutozifanyia kazi taarifa za uhakiki wa watumishihewa specifically kwa waalimu)
Wale wa Ofisi ya Komban tuambieni, jina la Mwl Salma lilikuja kwenu kama mfanyakazi hewa?