Ni lini Magufuli katangaza hali ya hatari nchini?

Kiulinzi hali ya Pemba ni 'highly charged'. Hali ya usalama inazorota siku baada ya siku.Hatua zinazoendelea kuchukuliwa ni za lazima..

Unajidanganya au unadanganywa Mimi nipo Pemba hapa maeneo ya Wete kipangani, hatujafikia huko mnakotaka tufikie waachieni watu wawe huru, wafanye kazi zao. Munapandikiza siasa za Chuki ikisha mnaleta vifaru. Kwanini musiende mukapeleka vifaru kule kwa wakulima wanakochinjana Kama kuku? Majanga yenu munayaficha wala hamsemi hata ya Idadi ya watu wanaouana, Kama yangekua yametokea Pemba tayari mushasema ni magaidi sio wafugaji.

Kwanini Tanganyika iendelee Kwa Amani mukaiacha na Zanzibar iendelee Kwa Amani. Hapa ilipofika, hizi fitna zinapandikizwa kutoka Bara Na viongozi wa Ccm wanawatumilia kina Jecha kwakua wanawapa mkate.
 
Mnaachwa huru halafu mnautumia Uhuru vibaya, muachwe? Kwa nini mnachoma nyumba za watu?
 
Kuchoma nyumba bila ya kujeruhi Na watu kuuana Kama kuku imekaaje? Au unajua mkipeleka vifaru huko Kwa wafugaji mtaitia Doa Tanganyika lakini Zanzibar mkisikia hata watalii hawaingii Na watu wanakufa njaa Ndio mtafurahi. Acheni kulazimisha mambo, lengo lenu ni kuiona Zanzibar haiwezi hata kumuajiri mtu.
 
mleta mada unataka hari ya hatari? wenzako wanaimarisha ulinzi wewe unawaza hali ya hatari.kwani hujawahi kuona gari la polisi au la jeshi?
 
Sio Suala la kuona hakuna Asoona, hizi ni Doria Na kafew ya kulala saa 2 imepigwa sasa unataka mpaka utumiwe meseji kwenye simu yako? Wiki nzima mitandao ya kijamii inaonesha Doria Zanzibar Za majeshi.
 
Jamani Zanzibar inategemea utalii 75 pacent sasa hivi, dunia ikiona hizi Hali Za majeshi kila kona, ni muonekano wa kuonesha nchi Haina Amani, wakati ni tofauti, Muonekano huu unaleta tafsiri mbaya Kwa wawekezaji Na wageni, Magu Iache Zanzibar ijinyanyue iko Hali mbaya. Majeshi yanaweza KUkaa standby kwenye makambi Na sio ukishuka tuu kwenye boti unakutana Na majeshi.

Hizi siasa sisi wengine hatuzipendi mnatufanya tuchangie Humu Kwa uchungu. Munataka Zanzibar iwe Kama palestina?

Au hizi ndege zinazoleta wageni zilizobaki zinawakera nazo? Uchumi unazidi kuporomoka eti wanasiasa wanasema Hawajui Kwanini?
 
Mipaka ya Jeshi haihusiani Na kuchomwa moto Maskani, hiyo ni kazi ya zimamoto Na Askari wa FFU,hawa majeshi wetu wanatamani vita ndani ya nchi Yao. Jeshi Jamani sio Jecha. Linatakiwa lijiheshimu. Jeshi linatengeneza mazingira yasiyoeleweka athari yake ni kubwa. Halifai kutumika kisiasa.

Pemba hakuna sababu ya watu kuwekewa kafew eti Kwa kuchomwa moto kituo cha hospital, Mbona hawawekewi kafew wakulima Na wafugaji wanaouana Kama kuku? Kwa wapemba haya ni maonevu makubwa ni kuwaonea wanyonge.

PEMBA UJAMBAZI MKUBWA BASI MWIZI WA KUKU..TENA WA KUVIZIA AKIINGIA NYUMBANI KWAKO...SI UNAJUA WALE KUKU WA KIENYEJI ? LABDA WANAENDA KULINDA WEZI WA KUKU.....HAHAH AIBU WALLAH HII YA MWAKA...KIKWETE ALIKOSEA NA SASA MAGU NAE ANASINDIKIZA
 
Kiutaratibu Wanajeshi kupita mitaani na magari ya deraya siyo habari.Hiyo tunaita 'a show of force' au 'psychological harrassment'. Pale watakapoweka buti ardhini na kuanza kudhibiti watu ndiyo ruhusa inapotakikana..
Umemaliza mkuu watu hapa wanaongea kiushabiki kuliko uhalisia
 
PEMBA UJAMBAZI MKUBWA BASI MWIZI WA KUKU..TENA WA KUVIZIA AKIINGIA NYUMBANI KWAKO...SI UNAJUA WALE KUKU WA KIENYEJI ? LABDA WANAENDA KULINDA WEZI WA KUKU.....HAHAH AIBU WALLAH HII YA MWAKA...KIKWETE ALIKOSEA NA SASA MAGU NAE ANASINDIKIZA

Ndio tatizo ukiwa utabase kwenye siasa lazima utafanya mambo ya ajabu tuu.
 
kwa kweli kinachoendelea huko Pemba kwa kuonekana kuranda randa kwa magari ya deraya na maroli yaliyosheheni Askari Polisi na wanajeshi bila shaka hari ya kwenye visiwani hivyo imevuka mipaka ya kudhibitiwa kwa nguvu ya Polisi wa kawaida.

Lakini Askari hao hasa wa jeshi la wananchi na vifaru vyao wanaoonekana huko Pemba ni lazima kwanza waruhusiwe na Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi kuwa mitaani baada ya yeye kujiridhisha kwamba ulinzi wa kawaida kwa kutumia Askari Polisi umeshindikana. Jee magufuli kama Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania aliwahi mahala popote kuwaambia watanzania kwamba sehemu moja ya nchi yao usalama wake ni tete na unahitaji jeshi la wananchi kuingia?

Ni lazima tuwe na Katiba inayoweka mipaka kwa wanasiasa kuyatumia majeshi yetu kwa manufaa yao ya kisiasa. Ni haki kweli kuwa na vifaru kwenye mitaa ya nchi yako kama vile kuna vita dhidi ya raia unaowaongoza?
Vipi unazo taarifa za kuchoma moto nyumba na zahanati?
 
Umemaliza mkuu watu hapa wanaongea kiushabiki kuliko uhalisia

Hapana hajamaliza Anaitia njaa nchi, uchumi wa Zanzibar ni Utalii, mtalii gani atakubali akikata kona anaona vifaru badala ya milango yenye nakshi Za kuvutia.

Vifaru, wanajeshi wawekewe mipaka.
 
kwa kweli kinachoendelea huko Pemba kwa kuonekana kuranda randa kwa magari ya deraya na maroli yaliyosheheni Askari Polisi na wanajeshi bila shaka hari ya kwenye visiwani hivyo imevuka mipaka ya kudhibitiwa kwa nguvu ya Polisi wa kawaida.

Lakini Askari hao hasa wa jeshi la wananchi na vifaru vyao wanaoonekana huko Pemba ni lazima kwanza waruhusiwe na Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi kuwa mitaani baada ya yeye kujiridhisha kwamba ulinzi wa kawaida kwa kutumia Askari Polisi umeshindikana. Jee magufuli kama Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania aliwahi mahala popote kuwaambia watanzania kwamba sehemu moja ya nchi yao usalama wake ni tete na unahitaji jeshi la wananchi kuingia?

Ni lazima tuwe na Katiba inayoweka mipaka kwa wanasiasa kuyatumia majeshi yetu kwa manufaa yao ya kisiasa. Ni haki kweli kuwa na vifaru kwenye mitaa ya nchi yako kama vile kuna vita dhidi ya raia unaowaongoza?
Tulia wewe
A mani kwanza
 
Alafu uniambie ukurunzinza utaisha
 
Unajidanganya au unadanganywa Mimi nipo Pemba hapa maeneo ya Wete kipangani, hatujafikia huko mnakotaka tufikie waachieni watu wawe huru, wafanye kazi zao. Munapandikiza siasa za Chuki ikisha mnaleta vifaru. Kwanini musiende mukapeleka vifaru kule kwa wakulima wanakochinjana Kama kuku? Majanga yenu munayaficha wala hamsemi hata ya Idadi ya watu wanaouana, Kama yangekua yametokea Pemba tayari mushasema ni magaidi sio wafugaji.

Kwanini Tanganyika iendelee Kwa Amani mukaiacha na Zanzibar iendelee Kwa Amani. Hapa ilipofika, hizi fitna zinapandikizwa kutoka Bara Na viongozi wa Ccm wanawatumilia kina Jecha kwakua wanawapa mkate.
Malizeni chuki zenu kwanza za upemba na uunguja.lasivyo mtamalizana.
 
Back
Top Bottom