Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Hawataki ulinzi ili wafanye uhalifu wakimbilie JF kusema zanziba hakukaliki.Magari ya wanajeshi hapo yako wapi? Mbona mnapenda uzushi sana? Unajua magari ya kijeshi. ? Hayo ni magari ya polisi na kazi ya polisi ni kulinda usalama wa RAIA na Mali zao.