Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,688
- 1,282
Hushangai ukimtuma mwanaume wa kitanga anunue mahitaji ya nyumbani anakuja na nyanya 2, vitunguu 2, tunda moja au mawili, mafuta ya chakula yakupima kama ya jero hivi , loh nisitaje sana, kitoweo ndo kabsaaaa, mwanaume kama huyo nitampeleka wapi mie, halafu anapenda kula vizuri na sana tu, hivi hiyo ni akili kweli alafu ni msomi na anamshahara usopungua laki 6 kwa mwezi....sio ubahili ni nini! Kweli tanga kunani.....
Inaelekea kuna mtu umeamua kumtolea uvivu, je ni memba huku JF?