Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,351
- 159,516
Anajaribu kunipoteza kimazingara sijui.
Nahisi nilivyopoteza mwelekeo nilienda kwake
Na bado, msiba wa kujitakia hauna kilio mpenzi
Anajaribu kunipoteza kimazingara sijui.
Nahisi nilivyopoteza mwelekeo nilienda kwake
Weeeeeh!! Wamefungwa!! Hata sijui, kumbe ndio maana leo hata simuelewi elewi.
Mwambie loser sio baba yake wala mama yake kho kho kho
Weeeeeh!! Wamefungwa!! Hata sijui, kumbe ndio maana leo hata simuelewi elewi.
Hunielewije tena na nimekutafuta mpaka nimekuona
We hebu muache shemeji yako jamani, unafurahiiii, kesho zamu yako
Umeona ee my ntakukodi maana mimi mineno ya kukera sina
Pole mkuu. Naona umeshachukuliwa msukule tayari. Mtafute Gwajima haraka!
Hahahaaaa!! Nyie wote wangu siwezi kuwakera ati!!
Sasa mbona humkatazi apunguze japo kidogo ntafiria vibaya ujue si wajua tuna vichwa viwili?