Ni kweli mapenzi hayachagui Dini, Kabila wala Hali?

Jan 22, 2012
27
0
Hi wana jf community? Kuna wengi 2mekua 2kisema ooh mapenzi haya chagui, nani alieleta hili neno ameharibu wa2 kweli. Kwasababu halina ukweli wowote. Utamsikia m2 akisema"Mimi siwezi kua na uhusiano na mwanamke mweusi hata siku 1" na kweli hutamuona aki fall in love na mwanamke wa aina hiyo. Mwengine nae atanena "mimi lazima nioe m/mke mwenye makalio makubwa, siwezi kuoa basmat"na wengine wata sema ya kwao. Je mapenzi yanachagua au hayachagui kama tusemavyo? Kazi kwenu wana jf pikeni hoja zenu
 
Bwana cosmas seem umeshaanza kupevuka sasa,si ni muda mchache tu unalalamika wenzio kukuona kua hiyo kitu haina madhara...vije tena na criteria hizi ama ndo unapata shule? Back kwenye hoja kuu,Heading na body zinahitilafiana...Mapenzi kuleta upovu linapokuja suala la dini,Kabila & Hali ni sawa,ila uliyozungumzia seem ni matamanio rather than upendo! Upendo hauna SI unit na hutokea tu mtu kumdondokea mwingine bila kutaraji! Ukishaingia na gea ya say Makalio,Sura nyeupe/nyeusi sio mapenzi tena...maana ulishacreate kwenye ubongo na eventually hutosita kumtaka mwingine aliyemzidi uliyenaye!
 
Ndugu kaa kwingin utaona mengi, hii habari ni kweli kabisa, naona lizzy ameshakupa jibu sina haja ya kuandika ngonjera nyingine.
 
Back
Top Bottom