Ni kweli kabisa Rais Jakaya Mrisho Kikwete sio mbayuwayu

bushman

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,411
743
it is all happening between Ruvuma and Whitehouse Magogoni dsm,nimefuatilia toka anasema kauli ile kule mbinga mkoani Ruvuma nikagundua alilokuwa anataka kuliongea ni la msingi lakini vifuatavyo hakuvizingatia;

1.Mukatadha
2.Hadhira
3.Muda

Nakama mkuu wa kaya anapoalikwa ktk hafla yyte ile kusema kitu,unatakiwa kuzingatia suala la MUKTADHA (mazingira) ktka ktka mazingira kama yale ambayo yalikuwa yakuwekwa wakfu Askofu John Ndimbo wa jimbo la mbinga huwezi kutoa kauli kama ile kwa viongozi wa dini ambao wanafuasi wengi na wanajihusisha na ujenzi wa roho za watu ni mbaya hasa ikikumbukwa miezi mitano iliyopita yeye mwenyewe wakati akizindua bunge la kumi alisema uchaguzi wa mwaka 2010 umeacha makovu makubwa ya UDINI kwa kauli ile iliyoitoa mbinga kila mtu aliiweza kuitafsiri kutokana jinsi anavyofahamu UDHAIFU mkubwa wa raisi wa nchi.

HADHIRA,alikuwa anaongea na maaskofu wa kanisa katoliki na maskofu waalikwa kutoka makanisa mengine ya wakristu hivyo basi kama kweli alikuwa anakusudia kusema anahitaji ushirikiano kutoka kwa viongozi wa dini ju ya vita vya dawa za kulevya vingozi wa dini kutoka dini zote walitakiwa wawepo katika hadhira ile lakini alipoongea kauli ile maaskofu kwa kuangalia muktdha na hadhira wakajua nia yake ni kuwapaka matope,na hata walipokuwa wanampa masaa 48 awataje wahusika walisema "kama kuna mchungaji anajihusisha na dawa za kulevya atajwe na achukuliwe hatua za kisheria kwa sababu hafai" Ikumbukwe kuwa kuwa kikwete huyu huyu alisema anawajua wauza unga wote kwa majina kama anawajua sheria za nchi zinasemaje?

MUDA,haukuwa wakati muafaka kuongea kitu kama hicho,kwa kutozingatia vitu hivyo vitatu ndio kumepelekea mvutano huo kati ya Raisi na maaskofu kwa sababu tukio lile halikuhusisha viongozi wote wote wa dini,anapojitokeza Sheikh kuisadia ikulu kutoa majibu kuwa kikwete aliwaonya viongozi wote wa dini alizingatia muktadha,hadhira na wakati alipokuwa anatoa kauli hiyo?

ANGALIZO;
1.Kikwete unatuharibia nchi yanayotokea nchi kama Nigeria visa kati ya dini mbili kubwa yanaweza kutokea pia Tanzania kwa sababu tasisi ya uraisi inatumika kuwagawa wananchi na si kuwaunganisha
2.Kama wauza unga kikwete anawafahamu kwa nini asitumie sheria za nchi kuwawajibisha?
3.Ulipohudhuria tamasha la pasaka mwaka huu ulisema Tanzania hakuna UDINI kauli ambayo inapingana wakati unazindua bunge la kumi kuwa inchi yetu iko hatarini kutumbukia katika UDINI je umelimalizaje tatizo hilo kwa muda wa miezi mitano?
5.Hivi ikulu ya awamu ya nne haina washauri na waandaa hotuba ambao wanaweza kutambua KIPI KISEMWE WAPI?WAKATI GANI? KWA WATU GANI?

HAKIKA KATIKA HILI WASHAURI WAKO WAMEKUPOTOSHA,LAKINI AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO UKASHINDWA KUCHANGANYA NA ZAKO KWA HIYO WEWE PIA SIO MBAYUWAYU KAMA ULIVYOTUTAKA WANANCHI WOTE TUWE MBAYUWAYU
 
Huyu rais wa CCM msameheni tu anasifa ya kukurupuka na kulopoka,ana fikra mgando
 
it is all happening between Ruvuma and Whitehouse Magogoni dsm,nimefuatilia toka anasema kauli ile kule mbinga mkoani Ruvuma nikagundua alilokuwa anataka kuliongea ni la msingi lakini vifuatavyo hakuvizingatia;
......
......
.....

ANGALIZO;
1.Kikwete unatuharibia nchi yanayotokea nchi kama Nigeria visa kati ya dini mbili kubwa yanaweza kutokea pia Tanzania kwa sababu tasisi ya uraisi inatumika kuwagawa wananchi na si kuwaunganisha
2.Kama wauza unga kikwete anawafahamu kwa nini asitumie sheria za nchi kuwawajibisha?
3.Ulipohudhuria tamasha la pasaka mwaka huu ulisema Tanzania hakuna UDINI kauli ambayo inapingana wakati unazindua bunge la kumi kuwa inchi yetu iko hatarini kutumbukia katika UDINI je umelimalizaje tatizo hilo kwa muda wa miezi mitano?
5.Hivi ikulu ya awamu ya nne haina washauri na waandaa hotuba ambao wanaweza kutambua KIPI KISEMWE WAPI?WAKATI GANI? KWA WATU GANI?

HAKIKA KATIKA HILI WASHAURI WAKO WAMEKUPOTOSHA,LAKINI AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO UKASHINDWA KUCHANGANYA NA ZAKO KWA HIYO WEWE PIA SIO MBAYUWAYU KAMA ULIVYOTUTAKA WANANCHI WOTE TUWE MBAYUWAYU

nasikia huwa wanamuandalia kabisa na kufanya rehearsal saa nyingine lakini akienda public anayasahau. Pia juu ya hilo ndiyo maana wanadai eti wakati anatembelea wizara, waziri anasoma taarifa yeye inabidi ainterupt kabla hajasahau endapo angelimuacha akamalizi taarifa.
...au labda ni makusudi maana kila binadamu ana style yake ya kupresent
 
Kazi ya ikulu hiyo mwaka huu tutasikia mengi,tuwasubiri maasikofu watasema nini baada ya hayo masaa 48
 
ndio wauza unga hata mukinuna huo ndio ukweli haina haja ya kuchaguwa mahali pa kusemea maadamu mulimualika wenyewe na alikuja kama kiongozi wa nchi na kasema kama kiongozi wa nchi,hakuna fitna hapo kasema ukweli,angelikuwa na waisilamu angeliwaambia jamani eee jengeni mashule na hospitali na vyuo, ila maadamu nyie hivyo munavyo basi kawaambia muache kuuza unga, pres yuko sahihi sana
 
Mufti Simba kawambia mkasome, vp ushajiandikisha gumbaru, akili zako kama umepakatwa na ustadhi ubwabwa:majani7:
 
baada ya kupewa kikombe na kuanza kujisikia vizuri sasa kawageuka!!!!!!!
 
Back
Top Bottom