Ni kweli JK anamiliki Hotel ya Malaika Mwanza?

Mongoiwe

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
524
263
Kila uchao yanaibuka, jana nimesikia watu wakidai kuwa hata ile Hoteli ya Mwanza ya Malaika inamilikiwa na JK, na kwamba amemkabidhi mtanzania mwenye asili ya Kiasia kusimamia. Wenye data tupeni ukweli hapa JF.
 
Kama mtu ana miliki hata nchi nzima peke yake tatizo ni nini kama amevipata kwa njia halali na analipa kodi stahili ? kiongozi sio raia kama wewe ? hana haki ya kumiliki mali anazotaka yeye ambazo amezitengeneza kwa nguvu yake yeye mwenyewe ? tena wengi wamepata mali hizo kabla ya kuwa viongozi wa sehemu mbalimbali nchini haswa katika serikali .
 
Sasa ikiwa anaimiliki ndio iweje? Kwani dhambi mTanzania kumiliki Hoteli?

Ka-Tibaigana ikiwa kanamiliki Hoteli Mkuranga, iwe ni ajabu kwa ji-JMK?
 
Naona upo kazini bro bila kufanya hivi wewe siku haijaingia.. Haya endelea tu
 
Kila uchao yanaibuka, jana nimesikia watu wakidai kuwa hata ile Hoteli ya Mwanza ya Malaika inamilikiwa na JK, na kwamba amemkabidhi mtanzania mwenye asili ya Kiasia kusimamia. Wenye data tupeni ukweli hapa JF.
SI WEWE TU!
WATANZANIA WENGI TUNAUMWA UGONJWA WA 'MAFUNUNU!!"
Na kila fununu inawabeba watanzania a kuwapeleka nje ya reli!!
 
Sasa ikiwa anaimiliki ndio iweje? Kwani dhambi mTanzania kumiliki Hoteli?

Ka-Tibaigana ikiwa kanamiliki Hoteli Mkuranga, iwe ni ajabu kwa ji-JMK?

Kama alivyosema Askofu mmoja kuwa si wote wanaopiga kelele za ufisadi wanauchukia ufisadi, bali wamekosa nafasi ya kufanya ufisadi. Every body potentially is a thief. Given an opportunity will become one. Utetezi huu, unathihirisha hivyo. Ana mshahara gani, biashara gani ya kuwa na investment kama hiyo. Jaza!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi kwa mshahara wake JK angeshindwaje kumiliki biashara yoyote ya halali kama hiyo hoteli ya Mwanza?

Hoja ya kujadiliwa ingekuwa kama kuna tetesi kuwa kuna harufu ya ufisadi katika umiliki wa mali hiyo.
 
Sasa watanzania tuache upuuzi....kwani Rais atakiwi kuwa na vitega uchumi vyake? Issue ni kuwa kama amevipata kwa njia halali big up JK kama kapata kwa njia ya magumashi hapo ndio issue........tuache mambo ya kizamani na siasa nyepesi jamani.....
 
anamiliki hiyo na nyingine nyingi sana.
kempinski ,moven pick,courtyard,southern sun,sopa,serena zote,peacock,holiday inn,white sands,gorrafe ocean view, na nyingine nyingi tu.
yaani wewe waijua moja tu? pole sana
 
si alisema anamiliki shamba la mananasi heka 400 na ng;ombe 7000 wakati wa kampeni....so kumiliki hoteli mi naona kawaida tu ...na atakuwa anamiliki internet cafe kule sinza mori
 
kama Rostam tu ni operating partner wa migodi yote ya dhahabu kanda ya ziwa plus williamson diamond mine,what surprises you for JK to owns hotel???
 
Kila uchao yanaibuka, jana nimesikia watu wakidai kuwa hata ile Hoteli ya Mwanza ya Malaika inamilikiwa na JK, na kwamba amemkabidhi mtanzania mwenye asili ya Kiasia kusimamia. Wenye data tupeni ukweli hapa JF.

Hapana hapo ni kumsingizia; nimeishi Mwanza na nawajuwa wamiliki wa Hotel hiyo kuwa ni Wahindi Wazalendo I know them long way back walikuwa na Duka na Restaurant

Na hao Wahindi pamoja na Mimi siishi nchini tunawasiliana

Hao wahindi hata hawamjui Rostam --- Sababu pia hawako dini moja so no business interests...

NOT TRUE BRO
 
Kila uchao yanaibuka, jana nimesikia watu wakidai kuwa hata ile Hoteli ya Mwanza ya Malaika inamilikiwa na JK, na kwamba amemkabidhi mtanzania mwenye asili ya Kiasia kusimamia. Wenye data tupeni ukweli hapa JF.

Ndugu yangu amka, achana na mawazo ya kimaskini. Kama hauna anza kufikiria na wewe utamilikije kiosk, si kuangalia nani anamiliki nini. Kwa tanzania hii ya leo kumiliki mali wala si tatizo
 
Huu ni uongo uliokubuhu,mwenye hotel malaika beach resort ni mtanzania mzaliwa wa mwanza,mwenye asili ya ki-asia,Jina lake ni Manoj vlajlal mehta.na hata kikwete sidhani kama anamjua mmiliki huyo wa malaika.
 
Bado kuna tatizo kubwa la kuangalia hapo, nimechangia kwa upana wa mada siyo kuhusu hiyo hotel maana hata hamana data za kurejea hapa, Kiukweli na kihalali rais hapaswi kushiriki biashara wakati yupo madarakani ingawa katika nchni za afrika ni kinyume, naweza kusema hii pia sehemu ya ukosefu wa maadili kwa viongozi kuna maeneo mengi ya kuangalia, ila tujaribu kujadili kuanzia hapa: -

  1. Kwanini hakutaja Mali zake kabla ya kuingia Ikulu ili Watanzania wasiwe na dukuduku wakati wakuondoka iwapo mali alizochuma baada ya muda wake wa Urais ni halali ausi halali!

  2. Pili iwapo kiongozi wa nchni kama rais atajikita katika biashara binafsi wakati yupo madarakani inaweza kunyima wafanyabiashara wengine nafasi na uhuru wa ushindani, nani anaweza kunyima kampuni ya rais kazi dhidi ya kampuni zingine za walalahoi! hapa ndipo unapata mambo kama ngurudoto kila wakati serikali inafanya semina sehemu moja hiyo hiyo ukifuatilia unakuta mara nyingi ni kupereka biashara kwa mkubwa, kama ikiwa biashara yoyote inayojulikana kuwa ni ya rais haiwezi kukosa favour kulinganisha na biashara ya Mlalahoi mwingine, ndio maana nchni za wenzetu rais utaja mali zake na kama iwapo ana biashara bali ile biashara ukabidhiwa kwa kabidhi mkuu na kusimama hadi atakapo maliza kipindi chache ndipo anarudi katika biashara, maana biashara ni ushindani mtu mwenye mamlaka ya dola anaweza kuumiza wanyonge na kuwazidi nguvu katika ushindani "automatically"
 
Back
Top Bottom