Dr. Sakis One
Member
- Dec 27, 2010
- 32
- 0
Wakati dunia ikiwa katika kampeni za kupambana na janga hatari la UKIMWI, inasemekana kuwa hali imekuwa tofauti katika miji mikubwa ya Tanzania hasa DSM, Arusha, Mwanza, na Tanga. Kulingana na uchunguzi wa asasi moja ya kupambana na maambukizi ya Ukimwi, imebaini kuwa wanawake wanaoshiriki zaidi biashara hiyo ni Wasiolewa, walioachika katika ndoa, wanafunzi hasa walio vyuoni (Hostels), na kwa sasa hata wanafunzi wa sekondari na wale ambao hawajapata nafasi ya kuendelea na masomo.
Kwa DSM imebainishwa kuwa mitaa ya SINZA, BUGURUNI, KINONDONI inaongoza kwa ukahaba hasa nyakati za usiku. Kwa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka bei imefikia hadi Tsh. 1000/= kutokana na watoa huduma kuwa wengi.
Source: shirika la kupambana na ukimwi TZ.
NB: Wana JF, Je ni kweli haya mambo ya hadi Tsh. 1000/= tu yapo au haya mashirika ya utafiti yanatuongopea? Kama yapo tufanye nini ili tuokoe taifa letu maana yaonyesha hali ni mbaya @! Kuupata ukimwi kwa sh. 1000/= hii ni hatari sana! TUJADILI WAKUU.