Ni kweli haya mambo bado yapo??

Dr. Sakis One

Member
Dec 27, 2010
32
0
Wakati dunia ikiwa katika kampeni za kupambana na janga hatari la UKIMWI, inasemekana kuwa hali imekuwa tofauti katika miji mikubwa ya Tanzania hasa DSM, Arusha, Mwanza, na Tanga. Kulingana na uchunguzi wa asasi moja ya kupambana na maambukizi ya Ukimwi, imebaini kuwa wanawake wanaoshiriki zaidi biashara hiyo ni Wasiolewa, walioachika katika ndoa, wanafunzi hasa walio vyuoni (Hostels), na kwa sasa hata wanafunzi wa sekondari na wale ambao hawajapata nafasi ya kuendelea na masomo.

Kwa DSM imebainishwa kuwa mitaa ya SINZA, BUGURUNI, KINONDONI inaongoza kwa ukahaba hasa nyakati za usiku. Kwa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka bei imefikia hadi Tsh. 1000/= kutokana na watoa huduma kuwa wengi.

Source: shirika la kupambana na ukimwi TZ.

NB: Wana JF, Je ni kweli haya mambo ya hadi Tsh. 1000/= tu yapo au haya mashirika ya utafiti yanatuongopea? Kama yapo tufanye nini ili tuokoe taifa letu maana yaonyesha hali ni mbaya @! Kuupata ukimwi kwa sh. 1000/= hii ni hatari sana! TUJADILI WAKUU.
 
Buguruni karibu na home kabisa dah!! Nilikuwa sijui ati !! Thanks kwa info bro
 
maisha kuwa magumu then lazima njia za kutafuta pesa ziibuke
mi silaumu hao ila nakulaumu wewe ulienda na 1000 yako kama usiinge nayo hawezi kuja kukukaba koo, so jilinde mwenyewe
wanafanya hivyo kwa sababu wateja mpo
mkiacha na wao wataacha kabisa.
 
Wakati dunia ikiwa katika kampeni za kupambana na janga hatari la UKIMWI, inasemekana kuwa hali imekuwa tofauti katika miji mikubwa ya Tanzania hasa DSM, Arusha, Mwanza, na Tanga. Kulingana na uchunguzi wa asasi moja ya kupambana na maambukizi ya Ukimwi, imebaini kuwa wanawake wanaoshiriki zaidi biashara hiyo ni Wasiolewa, walioachika katika ndoa, wanafunzi hasa walio vyuoni (Hostels), na kwa sasa hata wanafunzi wa sekondari na wale ambao hawajapata nafasi ya kuendelea na masomo.

Kwa DSM imebainishwa kuwa mitaa ya SINZA, BUGURUNI, KINONDONI inaongoza kwa ukahaba hasa nyakati za usiku. Kwa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka bei imefikia hadi Tsh. 1000/= kutokana na watoa huduma kuwa wengi.

Source: shirika la kupambana na ukimwi TZ.

NB: Wana JF, Je ni kweli haya mambo ya hadi Tsh. 1000/= tu yapo au haya mashirika ya utafiti yanatuongopea? Kama yapo tufanye nini ili tuokoe taifa letu maana yaonyesha hali ni mbaya @! Kuupata ukimwi kwa sh. 1000/= hii ni hatari sana! TUJADILI WAKUU.
hivi mbunye imeshuka bei hivyo???
 
Kama huamini nenda mitaa uliyotaja upate jibu kamili bulaza!!!
Mbona kawaida sana hasa pande za BUGURUNI!!!!
 
hivi mbunye imeshuka bei hivyo???

Mkuu,
Mi naona hiyo ni hatari sana kwa sasa! Nilishawahi sikia usemi kuwa " PENYE UREMBO PANA ULIMBO"! sasa hapo lazima wanaume tutaangamia ikiwa tutafurahi kwa hiyo kitu kushuka bei hadi buku! It is so sad!!
 
Huo utafiti walioufanya ni mzuri lakini bado hauelezi hali halisi.Wajaribu kutembelea kwenye wilaya na migodini ambako unaweza kupata changu kwa kumuhakikishia tu utalala kwangu na kesho ukiamka utakunywa chai na vitumbua.Hali ni mbaya kuliko inavyoweza kufikiriwa.Haya nimejionea kwa macho yangu katika mihangaiko yangu ya maisha
 
Mkuu tunakushukuru kwa kutufahamisha na hilo maana tafiti nyingi za kupambana na ukimwi zinafanywa mijini tu na maeneo yaliyo mengi ya vijijini au wilaya as you mentioned mostly are underestimated! tukija kustuka basi nchi tayari imeangamia! kuna haja ya wahusika kufanyia kazi jambo hili.
 
Ngoja nikahakikishe kabla sijatoa mawazo yangu.....
Ok, nitarudi....
 
buku na raha ya dakika 1 mtu unauza maisha yako..duh
sio siri hali ni hatari sana
 
Huo utafiti walioufanya ni mzuri lakini bado hauelezi hali halisi.Wajaribu kutembelea kwenye wilaya na migodini ambako unaweza kupata changu kwa kumuhakikishia tu utalala kwangu na kesho ukiamka utakunywa chai na vitumbua.Hali ni mbaya kuliko inavyoweza kufikiriwa.Haya nimejionea kwa macho yangu katika mihangaiko yangu ya maisha

wewe paka mweusi angalia usije kuwa mwekundu ghafla,
Tafadhani naomba souce ya info zako na kama vipi nitafute pm tuzungumze kuhusu hii comment yako....
Unasikiliza mambo ya kwenye gahawa unaleta in the foroum? sitaki kuamini uongo wako huo,
Migodini hujafika unlesss bainisha ni wachimbaji wadodowadogo wa kibongo tena waliochoka mno
na si kwa ma investors(i mean GGM, Barrick etc........)
 
Tena there is absolutly nothing like that madem wanaokuja kujiuza maeneo kama hayo ni very expensive tene imported from rwanda, kampala some from dar na wengine toka congo.........sio wa kuhonga buku mbili kama unayo iambia jamii hapa
yani ninahamu na wewe ni pm basi nikuchanechane dogo
 
He,!! mama ushanitamani tayari?Haya ngoja niku PM,
 
Tena there is absolutly nothing like that madem wanaokuja kujiuza maeneo kama hayo ni very expensive tene imported from rwanda, kampala some from dar na wengine toka congo.........sio wa kuhonga buku mbili kama unayo iambia jamii hapa
yani ninahamu na wewe ni pm basi nikuchanechane dogo

ndugu yangu,kama huamini alichoongea mdau basi tunasafari ndefu.
Nikujuze tu kwamba mwaka juzi nilikuwa Mkoani Kigoma.
Kule wanashugulika na uvuvi wa samaki na dagaa.. Wanawake wengi kutoka Burundi na Kongo wamekuwa wakienda kwenye makambi ya wavuvi na kujiuza bure *sijui kama ni kujiuza maana hawapati chochote toka kwa wateja wao* kwa matarajio ya kuambulia japo dagaa.
Wahati mwingine hali zao huwa mbaya zaidi hata kukosa nauli ya kurudi makwao.
Hapo ndio ukimwambia kwamba twende tuukalale wala haulizi ni wapi au itakuwaje,ni kushhukuru kwamba amepata hifadhi. Kitakacho fuata huko ni yeye naa Mungu wake au shetani wako.
 
wanawake wamejidhalilisha sana siku hizi,maana utapata taabu kuhangaika mji mzima kusaka KACHORI lakini sio K,na wala kwa wengine sio maisha magumu sijui mavyakula wanayokula yanakimbilia chini.
 
wewe paka mweusi angalia usije kuwa mwekundu ghafla,
Tafadhani naomba souce ya info zako na kama vipi nitafute pm tuzungumze kuhusu hii comment yako....
Unasikiliza mambo ya kwenye gahawa unaleta in the foroum? sitaki kuamini uongo wako huo,
Migodini hujafika unlesss bainisha ni wachimbaji wadodowadogo wa kibongo tena waliochoka mno
na si kwa ma investors(i mean GGM, Barrick etc........)

Sasa unataka source ya nini na mimi nimesema kuwa hayo nimejionea kwa macho yangu,au Paka Mweusi haaminiki kwako mpaka mtoa taarifa awe SYNOVATE chini ya Profesa..................
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom