Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

Labda upande wenu huko kwa mayahudi/westerns
mambo ya mwarabu ghali wanayo warabu koko wetu wa bongo ila wao wenyewe hizo mambo hawana au kisa wanawatenga wakina pangu pakavu tia mchuzi ndo maana mnawaona ghali...........we piga milemba na mikanzu kama yote ila ukifika kwa habibi dubai anakuona kijakazi wa mtumwa
 
Kwa nini wa Bongo wengi hawataki Mchaga awe Raisi ??
 
mambo ya mwarabu ghali wanayo warabu koko wetu wa bongo ila wao wenyewe hizo mambo hawana au kisa wanawatenga wakina pangu pakavu tia mchuzi ndo maana mnawaona ghali...........we piga milemba na mikanzu kama yote ila ukifika kwa habibi dubai anakuona kijakazi wa mtumwa

Ni mawazo yako
 
Waafrika wengi wabaguzi sana tena sana.
Tena unaguzi wao ni mbaya kuliko hata hao waarabu.

Ki dunia sababu kubwa inayompa mtu kiburi ni uwezo wake kifedha au elimu yake au Cheo chake. Lkn Africa mtu maskini, elimu ya maana hana, na wala cheo cha maana hana lkn Kiburi alichonacho anamzidi Firauni.
Utakuta mtu anafanya kazi serikalini kazi ya kawaida tu lkn Ana jeuri kuliko waziri.
Utaskia Anatoa kauli za ubaguzi ukimtazama sura ka jiko.
Kibri ni dhambi mbaya sana na Wengi watatupwa Jahannam kwa kibri.

Juu ya yote Hakuna nchi Duniani ukakosa wenye Ubaguzi wa Rangi, Utaifa au Dini.
Hii ni tabia mbaya illiopo popote na itaendelea kuwepo mpk siku ya malipo.

Mungu atulinde na tabia hii mbaya na Dhambi hii ya kuangamiza.
Upo sahihi kabisa kaka
 
Kuna mmoja alikua na kacheo flani ivi, aise alikua anachuki za kidini, hawapendi waislamu, leo yuko wapiii, ameshajifia na huko alipo anakipata anachostahili.
 
Back
Top Bottom