Ni kitu gani cha kijinga usingependa kufanyiwa au kuambiwa wakati ukifanya mapenzi?

nelly nashon

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
242
521
Wakati wakufanya mapenzi ni kipindi pekee ambacho mwili na akili inapaswa kutulia na kumakinikia tendo, lakini hutokea aidha kwa makusudi au bahat mbaya mpenzi wako akakufanyia au kukutamkia jambo kiasi kwamba hamu ya tendo ikatoweka kabisa.

Je, ni kitu gani au jambo gani usingependa kufanyiwa wakati ukifanya mapenzi?

Tililika wengi tujifunze,
 
hahha,kuna dem wangu aliwah nambia apend kubadili badili staili hovyo.
Wakati wakufanya mapenzi ni kipindi pekee ambacho mwili na akili inapaswa kutulia na kumakinikia tendo, lakini hutokea aidha kwa makusudi au bahat mbaya mpenzi wako akakufanyia au kukutamkia jambo kiasi kwamba hamu ya tendo ikatoweka kabisa.

Je, ni kitu gani au jambo gani usingependa kufanyiwa wakati ukifanya mapenzi?

Tililika wengi tujifunze,
 
Wakati wa kufanya tendo la ndoa mwili na akili vinahitaji utulivu ili performance isiwe chini ya kiwango,
Lakini wakati mwingine inatokea ama kwa makusudi au bahati mbaya mpenzi wako akakufanyia kitu au kukuambia jambo ambalo kiukweli unajikuta hamu ya tendo inatoweka ghafla.

Je, ni kitu gani cha kijinga usingependa kufanyiwa au kuambiwa na mpenzi wako wakati wa kufanya mapenzi?

Tililika ili nasi tujifunze?
 
Back
Top Bottom