Ni 'Kitchen Party' au 'Bedroom Party'?

Wa kwangu tulikubaliana asifanyiwe na hilo lilkuja baada ya yeye kunambaia alichokuwa anhitaji ni vyombo; baada ya harusi kulikuwa na mzungu anaondoka mie nikaongea naye na akaniuzia vyombo vyte vya ndani!

Kwa hiyo ushauri kwa maharusi wapya ni kuwa kuweni na maamuzi yenu juu ya nini mnakitaka sio kukurupuka kuiga kila kitu mtaishia kupata hasara kuliko faida!
ina maana Masikini Jeuri vyombo vyako ni mkono wa pili (ibadili kwa kidhungu)?
 
ina maana Masikini Jeuri vyombo vyako ni mkono wa pili (ibadili kwa kidhungu)?


:becky::becky::becky::becky::becky:

Thi afadhali thekandi end kuliko hivyo vingi vya kichina.....................ni mchanganyiko wa thekandi endi na vipya nilivyoweza kununua bana! kama sida ni vyombo nendeni dukani mkanunue veynu kwa maamuzi na uchaguzi wenue kuliko kujaziwa mabakulia na migalass chungu mbovu ya kichina:becky::becky::becky:
 
ziko wapi zile saba 1,2 au tatu walizokuwa wanafundishwa watarajiwa kuolewa?
iko wapi ile elimu ya kutumia kungu kwa ajili ya mume kuyafurahia macho ya mkewe?
Iko wapi ile elimu ya kumfundisha mke mtarajiwa mapishi kama vibibi na vibabu?

Natamani enzi ziile ailizokuwa na faragha na makungwi walio faragha ambao wanachaguliwa na familia kulingana na wanafunzi wake wanavyodumu kwenye ndoa zao na tabia njema ya kungwi husika kwenye ndoa yake ambapo malipo yalikuwa ni pair 2 za khanga badala ya malaki wanayochukua sasa huku wakiwa wameongeza matatizo?

Ziko wapi enzi hizo ambazo ukikutana na mwanamke aliyefuzu saba 3 ukiwa kazini unaomba muda uishe haraka urudi home kwa kufurahia mapenzi?

Kiko wapi kipindi kile ambacho mwanaume kabla hujaoa lazima uwekwe kitako kwa wiki mbili ukiwa wewe na babu au bibi yako wakikupa darasa la ndoa kwa mazuri yaliyopo na misukosuko iliyopo na jinsi ya kuishi na mkeo?

Ni elimu hii ya jadi ndio inayofanya unakutana na mababu na mabibi zetu wa miaka 80 bado wanapendana na kuvumiliana

Natamani enzi za elimu hii zirudishwe tena

kwa zama hizi za mkuraba Ama kweli mkuraba una mashauri gani? nitakujengea nyumba ghorofa ndani kwandani mtu mwenyewe tumbo dogo kwa kula hawezekeni

kalakabaho kweli mix with yours sasa nibiashara zaidi na wanafikiri kuwa ngono ndio kila kitu katika mapenzi kumbe ngono inachangia asimilia 10 tu ya mapenzi

Ahsante sana mke wangu kwa mapenzi unayonipa mungu akuujalia na atuujalia sote tuzidi pendana na ashukuriwe aliyekufunza saba 3 ashukuriwe wazazi wako kwa kukulea vizuri. Ahsante kwa kunisikiliza na kujirekebisha pindi tunapokoseana kufuata ninayopenda kufanyiwa ili kuboresha mapenzi yetu. Pokea mabusu yangu matano haya yakia na maana zifuatazo

1. Ahsante kwa kunipenda 2.Nilikupenda 3.Ninakupenda 4.Nitakupenda 5.Eh Mungu tusaidie kudumisha pendo letu

I LOVE U mama J.
 
Kitchen Party ni masilahi ya vyombo na zawadi. Siku hizi imefikia hatua kwenye kadi ya mwaliko unaandikiwa "Mwanamke vyombo vya udongo plastick haziruhusiwi" Sasa hiyo si ni maslahi tupu tuu. Ndo utandawazi huo
 
Nafikiri hawa wenzetu hawataki kusema moja kwa moja kuwa ni 'bed room party' ila 'kitchen' inasimama badala ya 'bed room' kwa maana ya kwamba jikoni kuna pilika pilika kama zile za chumbani - jikoni kuna kinu na mwichi na chumbani kuna kinu na mwich; jikoni kuna kukoroga na chumbani kuna hiyo shughuli, n.k. Hivyo kitchen ni maana ya pili au ni slang ya wanawake kuhusu shughuli za chumbani; yaani alivyo mzuri jikoni kumpikia mumewe basi vivyo hivyo afanye na chumani!!

mmmmmmmmhhhh............
 
Back
Top Bottom