Ni Kipi Chanzo cha Moto Bweni la Watoto Shule ya Msingi Green Hill Pugu Kajiunge Dar es Salaam?

Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
3,168
5,690
Moja ya Bweni la shule ya Msingi ya green hill iliyoko Pugu Kajiungeni,Ilala Dar es Salaam liliungua moto tarehe 9.01.2024 (Siku moja naada ya kufungua shule) na baadhi ya wtoto kujeruhiwa vibaya, Hatujasikia vifo.

Ila hakuna taarifa ya chanzo cha moto huo na pia taarifa kamili ya athari zilizojitokeza.

Ni vizuri chanzo kikajulikana ili na shule zingine zikaweza kujikinga
 
Back
Top Bottom