Ni kawaida ya wengi

Sababu ni nyingi.Siku hizi ndoa nyingi ni ya kulazimishana. Kwa mfano wanaume wengi siku hizi wanalazimika kuoa bila kupanga kufanya hivyo. Unakuta mwanaume ana uhusiano wa kimapenzi na msichana huku akiwa hana mpango wa kumwoa lakini kumbe msichana anakuwa ameshapanga kumtega. Kwa hiyo mwanaume wa namna hiyo akimwoa msichana huyo hatakuwa na mapenzi ya kweli. Pia wanawake wengi wakiingia katika ndoa wanashindwa kuonesha mapenzi ya dhati kwa waume zao. Wanakuwa wananuna mara kwa mara. Kwa hiyo mwanaume anaanza kutafuta nyumba ndogo.Pia kuna suala la kuridhishana katika tendo la ndoa. Wanaume wengi hushindwa kuwaridhisha wake zao katika tendo la ndoa. Kwa hiyo wanawake hulazimika kuwa na wanaume wa nnje.Kwa upande wa wanawake wapo wengine wanapofanya tendo la kujamiiana na waume zao wanalala tu bila kushughulika.
 
Wanawake wameisha kuwa wengi, wewe hata kama huwataki wao watasema wameisha tembea na wewe, bora uwachape fimbo watanyamaza kimya.
 
Mhhh sababu ulizozitoa sawa zinasemekana kuwepo kwenye jamii
Ila je ndio suluhisho
Kama mkeo ndani ya nyumba hamridhishani badala ya kuliongea na kutafutia ufumbuzi unaenda nje ya ndo will it solve the problem
Na je huko unakoenda unajuaje kama unaibiwa na huyo unayefake kuridhishwa
Na je kama humpendi mwanamke na umelazimishwa may be kwa sababu ya kupata mimba au nini na ukakubali kumuoa na kukaa nae ndani wakati kabisa unajua huna mapenzi naye kutoka nje ndio suluhisho la tatizo ndani ya nyumba yako au mapenzi na yule uliye nae ndani yatarudi au ndio unazidi kumweka mbali na wewe
na je hilo la wanawake kuwa hawajishughulishi sound weird how come unajua mkeo hajishughulishi badala ya kumwambia unatoka nje kutafuta kimada
nafikiri kwa mawazo yangu ni zaidi ya hayo unayoyaongea na matatizo uliyoyataja hapa juu yanaongeleka na kutatulika na waweza kuwa na ndoa imara zaidi ya hilo la kwako kusema kuwa wanatoka nje ya ndoa
Nionavyo sababu kuu ni tamaa ambayo wengi wanayo
Wengine wanapata kila kitu ndani ya ndoa zao kutoka kwa waume zao ila bado wanatoka nje ya ndoa
 
Wanawake wameisha kuwa wengi, wewe hata kama huwataki wao watasema wameisha tembea na wewe, bora uwachape fimbo watanyamaza kimya.

ukiwachapa fimbo sasa si ndiyo watapayuka kila mtaa kuwa uko hivi au vile katika kipini chako...........
 
Usizini hili ndiyo key word

wengi hufikiri ya kuwa wao ndiyo huwanajisi wanawake..........................kumbe wanawake ndiyo hutunajisi sisi na kutuharibia maisha kwa kutuachia.........
 
Kuliko nitoke nje......bora nimuage jumla kabisa ijulikane moja, na ye akifanya hivyo atakuwa amenisaidia sana!!!
 
Ukiona huwezi kujizuia basi kumbuka kupima, nakutumia condom kuzuia mimba zisizo tarajiwa.
 
Back
Top Bottom