Ni jambo zuri Jeshi la Polisi kuanza operation maalumu Jiji la Dar es Salaam

ruukada

Member
Feb 24, 2014
67
117
Pongezi kwa jeshi la Polisi kwa kuona umuhimu wa kufanya ilo

1. Dar es Salaam sio yenye uwalifu pekee. Labda kama wanaanza apa alafu wandelee Mikoa mingine

2. Pili wezi gani wanaotafutwa?

i . Wakuiba vipuri vya magari majumbani mwa watu?

ii. Wakuiba Tv majumbani mwa watu

iii. Wezi wa kuvamia biashara na kupora hela?

iv. Wezi wa kuaibia wanawake wakiwa wanatembea (bodaboda)

Tukashalijuwa ili tunaenda kuangali mbinu za uwuzi zinazotumiwa na majambazi pamoja na mahali wanapo peleka kuuza hivyo vitu.

1. Wezi wamajumbani inasemakana wanatumia dawa zanusingizi, wanazipata wapi?

2. Wezi wa vipuri vya magari inasemekana na sungusungu wanakuwaga na bastola

3. Vipuli vya magari vikiibiwa vinajulikana vinapelekwa maeneo yafuatayo (Gerezani, Kaiakoo, Tabata, Kigamboni na ata Tegeta)

Kwanini Police wasiyatembelee hayo maeneo kwa operation maalumu. Maanake tutaona mengi.

4. TV sina huwakika kama zinamaeneo mahususi zinapopelekwa.

Baada ya kusema hayo:

Operation maalum isipopita umo, itakuwa ni maigizo.

Maanake tutaona wanaosumbuliwa ni vijiwe vya bodaboda, vijiwe vya bangi kwenye vijana wanaocheza pool. Na machimbo ya gongo.
Tukaambiwa ndio wezi wamekamatwa.

Lakini sehemu muhimu zinazo facilitate uwizi zisiguswe

Ni maoni yangu kama mmoja wa muhanga wakuibiwa
 
Sasa umejitahidi kuchambua vizuri Ila hapo mwishoni umechemka. Hao wezi /vibaka wengi hushinda kwenye vijiwe hivyo ulivyovitaja.

Bodaboda hutumika sana kwenye usafirishaji wa wezi asilimia 90, wakiiba vipuri, au wakipora pochi au vyovyote hutumia bodaboda kukimbia kutoka eneo la tukio kwa haraka zaidi.

Maeneo ya vijiwe vya bangi na pool table hutumika sana na hao watu kuvuta muda na kujadili namna ya kuingia sehemu wanayotaka kufanya tukio la uhalifu. Wengi hutumia kama sehemu ya kupiga mchoro.

Unapofanya Doria ya kuamataji hayo maeneo huwezi kuyaacha.
 
Pay master wa wizara ya fedha ambaye ni mchaga amekwapua zaidi ya billioni 1 ndani ya miezi mitatu.

Doto James arejeshwe
 
Pongezi kwa jeshi la Polisi kwa kuona umuhimu wa kufanya ilo

1. Dar es Salaam sio yenye uwalifu pekee. Labda kama wanaanza apa alafu wandelee Mikoa mingine

2. Pili wezi gani wanaotafutwa?

i . Wakuiba vipuri vya magari majumbani mwa watu?

ii. Wakuiba Tv majumbani mwa watu

iii. Wezi wa kuvamia biashara na kupora hela?

iv. Wezi wa kuaibia wanawake wakiwa wanatembea (bodaboda)

Tukashalijuwa ili tunaenda kuangali mbinu za uwuzi zinazotumiwa na majambazi pamoja na mahali wanapo peleka kuuza hivyo vitu.

1. Wezi wamajumbani inasemakana wanatumia dawa zanusingizi, wanazipata wapi?

2. Wezi wa vipuri vya magari inasemekana na sungusungu wanakuwaga na bastola

3. Vipuli vya magari vikiibiwa vinajulikana vinapelekwa maeneo yafuatayo (Gerezani, Kaiakoo, Tabata, Kigamboni na ata Tegeta)

Kwanini Police wasiyatembelee hayo maeneo kwa operation maalumu. Maanake tutaona mengi.

4. TV sina huwakika kama zinamaeneo mahususi zinapopelekwa.

Baada ya kusema hayo:

Operation maalum isipopita umo, itakuwa ni maigizo.

Maanake tutaona wanaosumbuliwa ni vijiwe vya bodaboda, vijiwe vya bangi kwenye vijana wanaocheza pool. Na machimbo ya gongo.
Tukaambiwa ndio wezi wamekamatwa.

Lakini sehemu muhimu zinazo facilitate uwizi zisiguswe

Ni maoni yangu kama mmoja wa muhanga wakuibiwa
Wezi wakuu Ni pale hazina,bandarini,na Dodomya
 
Back
Top Bottom