Ni hali mbaya ya uchumi? Mpaka sasa Serikali bado haijalipa mishahara ya mwezi huu!

sijui hujui maana ya watu kupewa mshahara au ni nini,mtoa mada amesema serikali imechelewesha mshahara maana yake watu wanasubiri ujira wao baada ya kufanya kazi hizo za kutatua matatizo tofauti tofauti kwa mwezi moja kama mikataba yao ya ajira inavyosema.sasa unaposema watu wana lalamika baada ya kutatua matatizo sijui una manisha nini?.
Umemwelesha vizuri sana Huyo
 
Serikali imekuwa ikilipa mishahara tarehe 22 kila mwezi Leo hii tarehe 23 mishahara ya watumishi wa serikali bado hii wazi kuwa Hali ya uchumi nchini ni mbaya sana wananchi tuichangie serikali ili iweze kujikwamua .
Inaonekana wewe umeshafutwa kwenye payroll labda kwa sababu ya vyeti vyako fake!! Mshahara mbona umeshatoka na tayari tuko kwenye bar tunatumia??
 
Hebu kuwa mwelewa tarehe 23 hadi tarehe 23 kwa mwezi mwingine si ni mwezi tayari
Naelewa sana, lakini hata muda ulioanza kulalamika, ni mapema mno maana tarehe 23 inaisha saa sita usiku au kama ni muda wa kazi, basi ni saa 9.30 alasiri kwa hiyo subiri siku iishe
 
Serikali imekuwa ikilipa mishahara tarehe 22 kila mwezi Leo hii tarehe 23 mishahara ya watumishi wa serikali bado hii wazi kuwa Hali ya uchumi nchini ni mbaya sana wananchi tuichangie serikali ili iweze kujikwamua .
Umerogwa,na alie kuroga dawa aliitupa kwenye mto unaotiririsha maji ,ikaenda na maji,kichaa ulichonacho ni cha milele,utakufa nacho unapayuka hovyo maneno yasio kuna na msingi
 
Naelewa sana, lakini hata muda ulioanza kulalamika, ni mapema mno maana tarehe 23 inaisha saa sita usiku au kama ni muda wa kazi, basi ni saa 9.30 alasiri kwa hiyo subiri siku iishe
Serikali haina pesa huo ndoo ukweli wangekuwa na pesa wangelipa kwa wakati Hali ya uchumi ni mbaya sana
 
Hebu kuwa mwelewa tarehe 23 hadi tarehe 23 kwa mwezi mwingine si ni mwezi tayari
Wakati unaajiriwa mshahara ulipata tar 22 au ni maboresho tu ya juzi kati,pia hata wakati wa kikwete mishahara haikua inalipwa siku moja yaani kuanzia tar 22 mpaka tar31 kila idara, wakala, wizara na mamlaka walikuwa wanalipwa tofauti. Sasa JPM hata ifike tar30 ni gvt civil servant wote ikitema imetema
 
Naelewa sana, lakini hata muda ulioanza kulalamika, ni mapema mno maana tarehe 23 inaisha saa sita usiku au kama ni muda wa kazi, basi ni saa 9.30 alasiri kwa hiyo subiri siku iishe
Unachoongea ni kweli kabisa ila usisahau hata mbuyu ulianza kama mchicha.
 
WAKATI UNAAJIRIWA MSHAHARA ULIPATA TAR 22 AU NI MABORESHO TU YA JUZI KATI,PIA HATA WAKATI WA KIKWETE MISHAHARA HAIKUA INALIPWA SIKU MOJA YAANI KUANZIA TAR 22 MPAKA TAR31 KILA IDARA,WAKALA ,WIZARA NA MAMLAKA WALIKUWA WANALIPWA TGOFAUTI.SASA JPM HATA IFIKE TAR30 NI GVT CIVIL SERVANT WOTE IKITEMA IMETEMA
Acha kutumika ovyo haikusadii ww kama serikali MNA pesa lipeni mishahara acha maneno hapa
 
yan mleta mada ni mnduku haswaa....na ukicheza nao utakupakaa vima...kaa mbali nae
 
Serikali imekuwa ikilipa mishahara tarehe 22 kila mwezi Leo hii tarehe 23 mishahara ya watumishi wa serikali bado hii wazi kuwa Hali ya uchumi nchini ni mbaya sana wananchi tuichangie serikali ili iweze kujikwamua .
Mara nyingine uwe unatumia kichwa kufikiri na kuleta uzi kwa great thinkers! Ingependeza kama mods mngeondoa upupu huu!
 
Unachoongea ni kweli kabisa ila usisahau hata mbuyu ulianza kama mchicha.
Kwani nyie mnafanya kazi nchi gani hiyo ? Maana tangu saa 8.30 mchana, mshahara uko kwenye Account za wafanyakazi. Hebu nenda kaulize salio kama huna simu banking.
 
Back
Top Bottom