Ni halali kutoa sadaka kwa hela za kubet?

Watu wanafanya ujambazi,uporaji,kuuza madawa ya kulevya na wanatoa sadaka huko
Makanisani na msikitini
Sembuse pesa ya kubeti

Ova
 
Haramuu ni umaskini tu mkuu...!! pesa ukiipata hata kwa kutoa kafaraa wew peleka sadaka
 
Vitu vingi kharamu,watumishi na wafanyabiashara karibu wote huiba kwa kutumia mizani,kodi,bidhaa fake na maofisini kwa kupiga deal halafu imma ijumaa ama jumamosi na Jumapili hutoa sadaka fedha hizo hizo za wizi!!

Kheri ya wewe unajua umebeti kwa kufanya shirki ya kutoa matokeo tu kua Yanga atamfunga Simba ama Mamelod Sundown anamfunga mwarabu- ikatiki na ukala hela.

Tazama dhambi ya aliecchukua dawa/vifaa vya tiba hospitalini akaenda kuuza dukani kwake ama kwa mwenzie na akapata hela ili hali wagonjwa wanateseka na kufa haalfu linganisha na wewe ambae umepotea matokeo kwa fedha yako mwenyewe binafsi na ukapatia ikazaa!!

Toa sadaka kiasi, nyingine fanya maendeleo sheikh..

Mfano wa kharamu- hembu tazama Taifa teule la Mungu kule Palestine linavyoua viumbe vya Mungu hata vitoto na watu wanaliombea lishinde kwa kuua wapalet wote ilihali ni viumbe vya Mungu!!

Kwenye sadaka usisahau namba yangu 0621814685.
 
Asante sheikh, hapo kwenye namba yako si utapata laana ya kutumia fedha haramu?
 
Ushauri wangu umeusoma Mkuu, msimamo wangu upo kwenye ushauri wangu.

Niliwahi kupataga 8mln kwenye hizo hizo bet.

Nikasaidia kujenga vyumba viwili vya madrasa!! Nitapata dhambi na kuchomwa?!! Watoto walikua wanasomea chini ya miti!!

Fanya muamala sheikh!!
 
Hela ni miti, nailoni na madini.
Kama una akili utakuwa imenielewa sina haja ya kueleza zaidi.
 
Fungu la 10, si lazima upeleke kanisani au msikitini.

Peleka kwq wenye uhitaji. Tembelea huko hospital, kuna watu wamekwama kutibiwa kwa sababu hawana hela. Kawalipie.

Huko ndipo kuna baraka maradufu.
Wagalatia wanatapeliwa 'na wachungaji kwa kuambiwa zaka eti wapelekewe wao badala ya masikini
 
Habari wakuu, katika harakati za kubet miaka kadhaa hatimaye leo nimevuna kiasi kikubwa, kwa mujibu wa imani yetu kubet ni haramu, je hii pesa naweza kutumia kutoa sadaka au nayo ni haramu niitafune yote?
badilisha kwanza hio user name yako, huo uchokozi
 
Habari wakuu, katika harakati za kubet miaka kadhaa hatimaye leo nimevuna kiasi kikubwa, kwa mujibu wa imani yetu kubet ni haramu, je hii pesa naweza kutumia kutoa sadaka au nayo ni haramu niitafune yote?
waweza kukuta hata kahaba anatoa 10% kwa Mwamposa na anaombewa
 
Back
Top Bottom