Ni halali kulala na housegirl?

'wakati mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake, kuku ala kwa urefu wa mdomno wake!'

...hala hala housegirl asijevimbiwa tu, unless Bi mkubwa nae 'anatoshelezwa' na shamba boi wao!
 
Maria unajua watu wanachukulia house girl kama punda hata punda mwenyewe huwa anashikwa na hamu.

Kama mnaona hastahili kumegwa na baba mwenye nyumba muwe mna mpa off siku za jmosi na j2 anatembelea ndugu huko huko na yeye atajipatia pumnziko la moyo

Ndo hapoo nabakia nawashangaa jamni!!! Lakini nimekumiso wewe mtu balaaa
 
wahi kuombewa uponyeshe huo ubongo wako.... unakoelekea ni kulia na kusaga meno mwana izaya we!! :redfaces:
 
Nina jamaa yangu ambaye sera yake ni kufanya mapenzi na housegirl wake. Hoja yake ni kuwa house girl ni spare tyre zuri. Halafu anapata munkari kuona anamwibia mkewe mle mle ndani ya nyumba na wife hajui. Hiyo anasema inampa raha sana. Nini maoni yenu. Je kitendo hiki ni kizuri kwa ndoa yake?

Atakuwa na "MTINDIO WA UBONGO" huyo jamaa yako!!! Tena ni Mshenzi wa tabia...
 
Swali lako linanishangaza!Tangu lini kuiba kukawa halali??Jibu sio halali!Mwambie awe na heshima kwa mkewe angalau hata kidogo tu!Maana dharau anayomwonyesha kwa hayo maneno anayosema na vitendo vyake haipimiki!

Umenena vema! Unatumia kinywaji gani? Those are my pick up lines!!
 
Mbona wewe nkeo analiwa na kajamaa hakana hata sura. Je na hiyo ni halali
 
Nina jamaa yangu ambaye sera yake ni kufanya mapenzi na housegirl wake. Hoja yake ni kuwa house girl ni spare tyre zuri. Halafu anapata munkari kuona anamwibia mkewe mle mle ndani ya nyumba na wife hajui. Hiyo anasema inampa raha sana. Nini maoni yenu. Je kitendo hiki ni kizuri kwa ndoa yake?

Huyo anasumbuliwa na roho ya uzinzi na ukimwona mwambie asome Hosea 4:11-12. Asijione mjanja, he just in a process of destroying his life.
 
ndio yatakuwa ni hayo hayo wallah maana si kasema apenda akiona huyo maid amuibia mamahouse wakati hajui na bint yake pia hashindwi walla....
Nilham mbona umebadilisha mwandiko tulishauzoea ule wa mwanzo au peni imepotea
 
Nina jamaa yangu ambaye sera yake ni kufanya mapenzi na housegirl wake. Hoja yake ni kuwa house girl ni spare tyre zuri. Halafu anapata munkari kuona anamwibia mkewe mle mle ndani ya nyumba na wife hajui. Hiyo anasema inampa raha sana. Nini maoni yenu. Je kitendo hiki ni kizuri kwa ndoa yake?

sasa uhalali unatoka wapi?
 
Back
Top Bottom