Ni filamu gani ya kutisha ambayo unaikubali

Amanijua

JF-Expert Member
Mar 7, 2014
1,776
1,583
Habarini za kazi wadau,,,,,,?????

Jamani mimi ni mpenzi sana wa movie za kutisha na inafikia wakati cpendi filamu ambazo hazina maudhui ya kutisha.

Baadhi ya filamu ambazo binafsi nimewahi kuziona na kuzikubali sana ni ;

1.The Human Centipede part 1& 2.

2.Wrong Turn part 2 & 5.

3.The Basement Jack.

4.Hit and Run.

5.Hostel part 1& 3. Na nyinginezo,,,,,,,

Sasa wadau ni filamu gani nyingine ya kutisha ambayo umewahi kuona na ukaona ni kali uitupie hapa kwa faida ya wanajamvi wengine wanaopenda HORROR MOVIES ili waweze kuzitafuta na kuziona.

Welcome,,,,,,,,,,,.
 
Hii inahusu nini mkuu?????

Correction inaitwa The ruins
Inahusu watalii waliotembelea eneo moja lililokuwa limetengwa( cursed out) hailuruhusiwa mtu yeyote kuingia eneo hilo.

Sasa wao wakaenda kama unavyojua watalii wa kizungu.

Kulikuwa na majani ambayo yaliyokuwa omnivores . Binadamu akiyagusa yanamzunga na kumukaba mithili ya nyoka hadi anakufa.
Itafute ni muvi inayoweza kukutoa machozi hakuna aliepona.
 
Back
Top Bottom