Ni faida gani ataipata Mungu kwa kuwachoma moto binadamu siku ya mwisho?

Haakuna faida atakayoipata zaidi ya kujiridhisha hasira zake tuu. Atabadili tuu, ngoja tumsikilizie wakuu:):):)
 
Bad enough tunasoma katika vitabu vya dini kwamba mamlaka ya Mungu ni ya juu sana na haihojiwi na chombo kingine chochote, ila nadhani kwamba wakati Mungu anatoa tamko lake hili alilitoa kwa ghadhabu na wala hakuangalia side effects zake!
Aiseee!!! :confused:
 
Umesahau jambo moja kuwa maana ya adhabu pia nikukomesha, kwaiyo mungu atahuadhibu ulimwengu ili haikomeshe na kuifuta dhambi, biblia inasema yesu anabisha mtu akifungua ataingia kwake, kumbe shida ni yetu atujafungua, suala la kuwa juu ya dhambi ni hiari ya mtu na ni kwa njia moja tu yakuokoka. Mungu alikuwa hana Haki ya kutuangamiza kama asingetupa wokovu ili turudi tuwe miliki yake, lkn katufanyia wokovu hivyo kuadhibiwa ni halali yetu kwakukahidi kwetu. "karibu ktk familia ya mungu
 
Ambacho najiuliza ni je nini kitachomwa? Ni mwili? Ni roho? Maana miili tayari ilishaoza, roho(spirit) inaweza kuungua kweli?
 
Salaaam..

Kwanza kabisa naomba niweke msimamo wangu kiimani, mimi naamini mungu yupo na ndie muweza wa yote.

Turudi kwenye mada..nacho jua mimi adhabu huwa inatolewa ili iwe funzo kwa mkosaji au kwa watu wanao mzunguka huyo mkosaji..adhabu hii huwa ni fundisho kwa mkosaji ili asirudie tena kosa pia ni funzo kwa wengine ili wasifanye kosa hilo.

Haya sasa binadam wote watakao kufa wakiwa na dhambi wameahidiwa moto wa milele kule jehanamu kama adhabu..lakini pia tuna ambiwa kuwa baada ya adhabu hiyo hakuta kuwa na kifo tena wala dhambi na watu watakao kuwa na dhambi watabaki motoni milele..

SWALI:

je adhabu hiyo ya moto itakua ni funzo kwa nan??

Na je ni faida gani mungu ataipata kwa kuwa choma moto viumbe alio waumba mwenyewe..

Je shetani alipangwa ili maisha yawe hivi??

Yesu alikufa msalabani kwa sababu ya dhambi zetu wanadam ambazo chanzo chake ni shetani..je shetani hawezi kudhibitiwa na kupewa adhabu kali kwa kuharibu ulimwengu???maana watu wanajaa kwenye anasa kuliko kwenye nyumba za ibada takatifu..


Nawasilisha..karibuni
Mungu haitaji faida yeyote katika maamuzi ya matendo yake tayari ameshakuambia ukifanya dhambi moto ni haki yako ukifanya mema utauona ufalume wa mbinguni. Na ukumbuke kuwa moto huo sio adhabu bali ni hukumu na hukumu inaweza ikawa na mwisho au isiwe na mwisho.
 
Binaadamu tunajitahidi kuhoji vitu visivyo tuhusu.
Faida anayoipata mungu ww binadam wataka kuijua ya nn?
Mm nakushauri Fanya yale unayoamin yanampendeza mungu wako utaepuka huo moto.

Lakini ukumbuke kuwa huo moto sio adhabu bali ni hukumu yaweza kuwa Na mwisho au isiwe Na mwisho
 
Binaadamu tunajitahidi kuhoji vitu visivyo tuhusu.
Faida anayoipata mungu ww binadam wataka kuijua ya nn?
Mm nakushauri Fanya yale unayoamin yanampendeza mungu wako utaepuka huo moto.

Lakini ukumbuke kuwa huo moto sio adhabu bali ni hukumu yaweza kuwa Na mwisho au isiwe Na mwisho
Kwann mungu achome watu wake wakati yy n mwenye upendo wote?

Kati ya mungu na shetani nani mwenye nguvu zaid?
 
Back
Top Bottom