Ni dua gani ya kumuombea mtu aliokudhulumu ili apate mikosi?

kalanga1

JF-Expert Member
Apr 10, 2017
318
425
Wakuu kwanza samahanini kwa kuwasumbua, Pili. Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri wenu kwa kilichonipata. Nitaenda kuwahadithia kwa kifupi sana
.
Mimi ni kijana wa kiislamu, naishi Dar, mwezi mmoja uliopita au mwezi na nusu nilidhulumiwa pesa tsh 2.7M ( million 2 na laki 7 ) sikwambii maumivu nilionayo moyoni, yaani naumia sana halafu alionidhulumu ni mtu wangu wa karibu sana.

Mtu niliemuamini kwa kila kitu, nimekuwa nikiomba Mungu, Mungu naomba unilipie, mpe mabalaa na mikosi ya kila aina, huwezi amini hata saivi ninavyoandika uzi huu nimetoka kuomba, lakini naona bado Mungu hajanilipia.

Je nifanyaje, kuna dua gani ya kumuomba Mungu ampe mikosi? Yaani kiasi kwamba ajute kula jasho langu, mimi ndio kwanza mwaka huu nimefungua kibiashara changu nimeanza kutafuta maisha alafu ananidhulumu.

Nifanyaje? Ndugu zangu naumia mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pole sana..pia utambue kwamba M/mung ktk dua ambazo hacheleweshi ktk kujibu ni ya km yko ya dhulumat,..swala rakaa mbil afu muuleze M/mung maswahibu yko yte jpo yy ashayajua lkn mshitakie tu..afu utaona majibu yke ..mabays hapa hapa dunian..akhera huko ni hesabu..

Nikupe na ka.kisa kidogo ..jamaa alimfanyia dhuluma.jiran yke sehemu ya ardhi sabb yy anapesa na akajengs ple km store kubwa iv ya kuifadhia baadh ya mali zake na hyo ni maenek yalio karibu na reli sasa baada ya miaka 11 mung analipa ile dhuluma bhn wa reli wanataka eneo lao la mita 30 na jamaa yuko ndan ya hizo mita so sasaiv naongea jmaa anabomoa hilo jengo lake lenye thaman kubwa..mung yupo na analipa hap hapa..na njia.za kulipa ni nying.
 
Wakuu Kwanza samahanini kwa kuwasumbua, Pili. Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri wenu kwa kilichonipata. Nitaenda kuwahadithia kwa kifupi sana
.
Mimi ni kijana wa kiislamu, naishi dar, mwezi mmoja uliopita au mwezi na nusu nilidhulumiwa pesa tsh 2.7M ( million 2 na laki 7 ) sikwambii maumivu nilionayo moyoni, yaan naumia sana halafu alionidhulumu ni mtu wangu wa karibu sana, mtu niliemuamini kwa kila kitu, nimekuwa nikiomba mungu, mungu naomba unilipie, mpe mabalaa na mikosi ya kila aina, huwezi amini hata saiv nnavyoandika uzi huu nimetoka kuomba, lakini naona bado mungu hajanilipia. Je nifanyaje, kuna duah gani ya kumuomba mungu ampe mikosi??? Yaani kiasi kwamba ajute kula jasho langu, mm ndio kwanza mwaka huu nimefungua kibiashara changu nimeanza kutafuta maisha af ananidhulumu. Nifanyaje??? Ndugu zangu naumia mnooo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkodishie wahuni tu wamshikishe adabu.

Wape hela ya bangi tu hata elfu 10 inatosha kukufanyia kazi yako.
 
huyo dawa yake kifiro tu hamna namna.

Tafuta vijana hata 6 wakamfir.e kisha wamtoboe macho .
Ila hakikisha unatengeneza mazingira asikujue kabisa.

Tulia hata miezi miwili au hata mwaka ukiwa unacheka nae kama kawaida ili ajue umesahau .
 
huyo dawa yake kifiro tu hamna namna.

Tafuta vijana hata 6 wakamfir.e kisha wamtoboe macho .
Ila hakikisha unatengeneza mazingira asikujue kabisa.

Tulia hata miezi miwili au hata mwaka ukiwa unacheka nae kama kawaida ili ajue umesahau .
Hahahahahaaaa
 
Usilipe kisasi wakati huu...
Subiria tu hata miaka ipite then kisasi pelekea kwa kizazi chake
Atalia na kusaga meno

Atalia kwani atakuwepo muda huo?..kwa nini utese kizazi chake? Au sijakuelewa? Unaposema kizazi unamaanisha nini kwani? Nyeti zake?
 
Huyu mungu mnayemuomba ampe mtu mkosi hehehe moja ya sababu niliachana na upuuzi wa dini.
We naye unajiita mwema, watu wa dini mna mambo ya ajabu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom