Ni dawa gani ya usingizi wanayoitumia wezi kupuliza madirishani?

Siyo siri nawachukia sana wezi, mwaka jana walivunja mlango wakaingia mpaka chumbani kwangu nilipokuwa nimelala na kubeba kila kitu, wakabeba na chupa ilikuwa na chai na maandazi wakasepa nayo
Ha! ha! haàaaaaaaaa! Watu wanajua kama uongo vile.
 
Nilikuwa nawaza kwa sauti hii mbinu ya maji...
Lakini nikawa najiuliza kuwa litaulizwa swali uhusiano uliopo baina ya hiyo dawa na maji, kwa nini maji yakiwepo haiwezi kufanya kazi!!
Hukusoma chemistry form two ww??
 
Ni kuwaroga tu...kiukweli mm mwizi hanisumbui,

Huna haja ya kuchawia, tumia mbinu ya kawaida kabisa ku- overcome hilo tatizo, chukua beseni jaza maji liweke kwenye chumba unapolala, wakipuliza ile dawa yote inakwenda kwenye maji kwa hiyo wakianza mikakati ya kuvunja/kufungua milango au madirisha wewe utashtuka tu kwa kuwa dawa inakuwa haijafanya kazi, achana na ulozi mshkaji.
 
Unaweza kuthibitisha kuwa form two unaweza kupata uhusiano baina ya tetrachloromethane na maji?...ni form two ya nchi gani?
Mkuu kuna kosa la kiufundi hapo, haipaswi kuwa form two bali ni A'level; waliosoma chemistry advance wanaweza kuwa na idea kwenye masuala ya electron affirnity. Chloroform sijajua properties zake lakini nadhani ina high affirnity to water ikiwa kweli huwa inakuwa absorbed na maji. Nipo tayari kurekebishwa.
 
Hua najiuliza, ni kwanini mwizi akiiba ni lazima aache mlango wazi???
Ni sheria yao,
Ni masharti yao,
Ni haraka zao,
Au kuna nini zaidi nyuma ya pazia????
 
Huna haja ya kuchawia, tumia mbinu ya kawaida kabisa ku- overcome hilo tatizo, chukua beseni jaza maji liweke kwenye chumba unapolala, wakipuliza ile dawa yote inakwenda kwenye maji kwa hiyo wakianza mikakati ya kuvunja/kufungua milango au madirisha wewe utashtuka tu kwa kuwa dawa inakuwa haijafanya kazi, achana na ulozi mshkaji.
Naona hii ya beseni la maji iko passed
 
Back
Top Bottom