Ni dawa gani ya usingizi wanayoitumia wezi kupuliza madirishani?

Ipo dawa ya spry pia ipo dawa ya asili yapo majani jina siyajui ila kw macho nawajua hayo majani yakiwa mabichi ukiyapikicha hutoa harusi ya kinyesi basi ukitaji yatumia huyakausha kisha yakikauka mwezi akija huyachoma nnkurusu ule moshi upenyeze ndani yani ukivuta tu ile harusi unakuwa nusu kaput ndani ya masaaa mawili

Ili kuepuka wizi wa namna hii unashauriwa kuwa na maji ndani either kwenye jagi au kikombe maji yawe wazi kwani inasemekana spry yoyote ile au moshi wowote ule ukifulizwa sehemu ambapo maji yapo wazi ile dawa hukimbilia kwenye maji kwanini miye sijui ila nimepata huu uzoefu kwani tuliishi maeneo ambayo wizi wa namna hiyo ulikuwepo mkubwa sana na kina pekee ilikuwa kulala na maji ndani
Unaitwa mmavi-mavi
 
Daàaaah, umenikumbusha jirani yangu alinunua TV ya m1.25 na subwoofer la nguvu katumia wiki moja wezi wakaja wakawapulizia wakalala usingizi hadi tunawaamsha saa tano asubuhi baada ya kuona kimya sana hiyo nyumba hali tumegana nao usiku wa kulala na hawakuwa na safari yoyote.
Kuwakuta ndani wakaamka kila mmoja akitokea chumba tofauti wezi walibeba na kuwatenganisha mke na mme na kupeleka vyumba tofauti. Wezi ao hao walikula msosi kwanza ndo wakabeba mzigo na hela kidogo iliykuwa around.
Wezi wa namna hii washenzi sana ila dawa yao ni ndogo tu wanapuliza lakini wanakukuta uko macho unakimbizana nao.
Mke hakufanyiwa lolote lililobaya zaidi juu ya mwili wake?
 
kama wanatumia chloroform nakuomba nikupe kazi ukafanye tuprove kama ni yenyewe. Najua panya ukimpiga chloroform anapoteza faham pia, sasa wewe chukua huyo panya au chura mweke kwenye box kubwa kiasi kumtosha yeye na kikopo cha maji kikubwa cha kutosha kilichowazi kwa juu then funga box lako na puliza hiyo chloroform na baada ya muda ambao unatarajia kuwa panya/chura atakuwa usingizini fungua na tupe mrejesho kama utakuwa macho au usingizini.
Si sinzia nae pia
 
Mke hakufanyiwa lolote lililobaya zaidi juu ya mwili wake?
Hakufanyiwa chochote mkuu, na wala haijawahi ripotiwa kufanyiwa mbaya kwa mwanamke/mwanaume yoyote kwenye matukio ya namna hii popote zaidi ya kuhamishwa tu kitandani na vitu kuibiwa
 
Weka picha
Screenshot_2016-07-25-10-07-06-1.png
Nimevunjika 5.
Wakiendelea tena nitavunjika zote
 
Wala usidanganyike. Hakuna dawa ya kupuliza dirishani ikamfanya mtu alale fofo kiasi cha kutoshtuka. Dawa zile zipo lakini kwanza haziko effective kama tunavyodanganywa lakini pia ni adamu na ghali sana kuzipata kiasi kwanmba hakuna mtu wa kawaida akaweza kuzimiliki kirahisi hivyo. Wanachofanya wezi ni kwamba wanacheza na saikolojia ulya muhanga. Binadamu kuna kipindi fulani cha usiku anakuwa ndani ya usingizi mzito sana. Sasa wezi hawa hutumia kipindi hicho kufanya yao.
Mimi ni muhanga wa hao wezi i na ipo siku nitawakamata tu kwa uwezo wa Mola na nitafudi hapa na kuwaadithia kitakachowakuta.
 
wewe endelea kubisha tu
 
mshikaji wangu walmuibia adi nguo alokuw kavaa akati analala, asubui anashangaa geto kavu afu pamba alotupia kbla ya kulala zmebebw, unaambwa mpaka boksa walmbebea et, kibaya zaidi wakampaka whitedent kwe mtalo wa makalio, looh!
ha haaa haaaa hiyo ilizidi mkuu
 
Ukimtajia huyu jamaa ndo anatafta akaitumie
Yawezekana siyo yeye, wapo ambao nahisi dhahiri kabisa wameshika kalamu na notebook kuandika hizo dawa kama wanavyotiriirka wajumbe hapa kwa ajili ya kufanya uhalifu...
 
Back
Top Bottom