Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,779
- 14,311
Absolutely true! Mungu huwa hachelewi anakuja kwa wakati sahihi tu. Nashukuru Mungu kilikuwa kipindi kifupi kigumu saana lakini nilijifunza mengi saana.See God now!!!!
Mungu anatutoa mbali, anatupeleka mbali....Glory to the Most high alone.
As long as your happy,I'm happy and GOD is Happy..
Enjoy life My friend Humble..Wewe ni mtu poa sana.... Na unastahili kila kilicho chema kwenye hii Dunia...
NB,Usiwe unapotea namna hii hapa jukwaani..Wewe una vitu vyako special sana sana...Hatuvipati popote hapa...Amini kwamba.
Kwa vile nilikuwa na pesa awali hata kuomba msaada nilishindwa maana nilikuwa nawaza watu watanicheka na Mama yangu hakuwahi kujua maana nilijua nitampa mawazo tu kumwambia whole situation. So I fought this battle all alone.
Triumphantly, nilipita Salama lile bonde la dhiki kuu. Usiombe kukosa pesa wakati awali ulikuwa nazo unaweza kuwa mwehu maana unaona aibu kufanya kazi mbovu sababu ulikuwa nazo mwanzoni.
Mungu ni mwema, nimerudi barabarani na technically wewe ni miongoni mwa marafiki zangu wa hapa JF I wish hata siku moja tuonane tu.