Ni busara kutumia jukwaa hili kuelimishana

James strong

New Member
Aug 19, 2011
4
1
Nionavyo mimi ni busara tutumie jukwaa hili kuelimishana mambo ya msingi ya maisha badala ya mizahaa na mambo yasiyo ya kujengana,tuzungumze mambo ya kiroho na mwili pia ili mradi msomaji ajegwe na shida pia zijibiwe hapa jf,THANKS 2ALL
 
kwani tumetoka nje ya roho na mwili?......hebu fafanua hasa.....MMU ni nini zaidi kinaongelewa kilichopo nje ya roho na mwili.....
 
Hata hivyo karibu sana maana naona ni mgeni kabis ana hii ni post yako ya kwanza
Umenena vyema ila yote yanayofanyika humu hata kama ni mzaha kuna wakati wake na kuna topic serious sana humu na zinajibiwa the same na zile z amzaha ni hivyo hivyo
 
kwani tumetoka nje ya roho na mwili?......hebu fafanua hasa.....MMU ni nini zaidi kinaongelewa kilichopo nje ya roho na mwili.....

Preta mtu mwenyewe mgeni humu maswali kama yuko police central yatamkimbiza humu
 
Hata hivyo karibu sana maana naona ni mgeni kabis ana hii ni post yako ya kwanza
Umenena vyema ila yote yanayofanyika humu hata kama ni mzaha kuna wakati wake na kuna topic serious sana humu na zinajibiwa the same na zile z amzaha ni hivyo hivyo

na zote si ziko ndani ya roho na mwili sio.......
 
Zote ziko ndani ya mwili na roho na nafikiri humu MMU ni zaidi mwili na roho hata kama una shida ya kimwili unasaidiwa

sasa je.....mwambie bana huyo rafiki yako.......hii ndio MMU......
 
sasa je.....mwambie bana huyo rafiki yako.......hii ndio MMU......

Ndo ameanza anza anajifunza jinsi ya kuweka post na jinsi ya kucomment tusiende haraka hivyo bana atasahau na kuchemka akaweka post ya MMU kwenye jukwa la siasa
 
Jamaa ana maana nzuri tuliUtilize jukwaa la mmu kwa kuelimishana not otherwise!
 
Mi nadhani hayo machache yaliokwishaelezwa yatoshe kwakua yanajitosheleza.
Acha niendelee na supu yangu kabla haijapoa
 
Back
Top Bottom