suleym
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,960
- 1,205
kuhusu nini?kama unaona una ushauri mzuri zaidi, si uende ukaishauri chadema.

Hivi CDM mna majimbo mangapi mliyo shinda?[/QU
sio hoja inayojadiliwa hapa.
Hii thread yako haina tija. I categorise it as Holy crap.Great thinkers.
Kwa jinsi nilivyo ona picha kwenye gazeti la mwananchi kuna kila sababu CCM, Nape na viongozi wake kufanyia mikutano shule za msingi au sekondari.
Natambua sheria ya vyama vingi ya mwaka 1992 imekataa kuendesha siasa kwenye taasisi kubwa za elimu na hata kwenye mashule. Lakini kwa jinsi hali ya mambo ilivyo kwa CCM nawashauri wafanye hivyo maana umati au wingi wa watu umekuwa fasheni na kipimo cha kukubalika kwenye vyombo vya habari.
Mashuleni hasa msingi watapata wanafunzi wengi maana itakuwa amri kuwa ni lazima wanafunzi wahudhurie hivyo wanafunzi hawata pata kero kupelekwa au kukatishwa vipindi kwa ajili ya mikutano ya ccm inayofanyika nje ya shule zao.
Lakini pia itawasaidia kukuza wanachama wapya wa miaka 10 ijayo ccm ikiwa chama cha upinzani ikijipanga kuondoa CdM madarakani maana kwenye mavyuo wamesha ona hali ni mbaya na hawana chao tena. Udom wanapo pategemea pamesha tekwa siku nyingi na ni miongoni mwa ngome za CdM kwa vyuo vikuu.
Hivyo nawashauri mikutano yao ifanyikie mashuleni tena wakati wa gwaride, morning talk, evining talk au muda wa prepo. Vinginevyo wataendelea kuvuna aibu au watajikuta siku moja wako mikutanoni wenyewe au wao na mabalozi wa nyumba kumi kumi.
Hii thread yako haina tija. I categorise it as Holy crap.
CCM wanataka kutibu ugonjwa kwa maudhurio ya watu wanaokuja kumuhani ngonjwa badala ya kutafuta tiba ya ngonjwa .!!
Great thinkers.
Kwa jinsi nilivyo ona picha kwenye gazeti la mwananchi kuna kila sababu CCM, Nape na viongozi wake kufanyia mikutano shule za msingi au sekondari.
Natambua sheria ya vyama vingi ya mwaka 1992 imekataa kuendesha siasa kwenye taasisi kubwa za elimu na hata kwenye mashule. Lakini kwa jinsi hali ya mambo ilivyo kwa CCM nawashauri wafanye hivyo maana umati au wingi wa watu umekuwa fasheni na kipimo cha kukubalika kwenye vyombo vya habari.
Mashuleni hasa msingi watapata wanafunzi wengi maana itakuwa amri kuwa ni lazima wanafunzi wahudhurie hivyo wanafunzi hawata pata kero kupelekwa au kukatishwa vipindi kwa ajili ya mikutano ya ccm inayofanyika nje ya shule zao.
Lakini pia itawasaidia kukuza wanachama wapya wa miaka 10 ijayo ccm ikiwa chama cha upinzani ikijipanga kuondoa CdM madarakani maana kwenye mavyuo wamesha ona hali ni mbaya na hawana chao tena. Udom wanapo pategemea pamesha tekwa siku nyingi na ni miongoni mwa ngome za CdM kwa vyuo vikuu.
Hivyo nawashauri mikutano yao ifanyikie mashuleni tena wakati wa gwaride, morning talk, evining talk au muda wa prepo. Vinginevyo wataendelea kuvuna aibu au watajikuta siku moja wako mikutanoni wenyewe au wao na mabalozi wa nyumba kumi kumi.
Kwani hata hao wa Shule za Msingi wakikua na wakijua kuwa hapo walipofika ndio ccm imewafikisha basi watakikataa, Ushauri wa bure kwa Nape akatae hiyo kazi lasivyo ni kujiaibisha