mwanamajimbi
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 601
- 151
Samahanini wanajamvi wenzangu natumia nokia c3 00 ilikuwa inakubali whatsapp sasa nashindwa tena kudownlod naombeen msaada wenu natanguliza shukran
Kitu "smart lock" nafunga kila file hata nikikuazima simu yangu huwezi kuidukua
Yaani hii ni komesha kwa wale wote wanaopenda kudukua maasiliano ya watu
Kwa wale watumiaji wa TAB/Android Phone yoyote hii kitu inawahusu Unapata Internet Unlimited BURE kabisa ali mradi uwe na hela ya kulipia server
Chukua namba zangu tuongee Biashara...ziko kwenye footer
Wakuu wenye simu za android na Iphone.........
Moja ya sifa ya hizi simu zinazotmia platform hii ni Apps mbai mbali .
Inawezekana kuna mtu anatumia app nzuri fulani ambayo mwenzake hajui
Nilikuwa najaribu ku google best anroid/Iphone apps. Matokeo nyingi niizoona haziwezi kuwa na maufaa au matumzi kwa mazigra yetu ya bongo.
Haya wenye Adroid na Iphone tuelimisane some usable apps Tukinooda zile za facebook. twitter yahoo hotmai skype...
Naanza
Bible/Qoran .......( Hizi nadhani kwa waumini wa dini) watakuwa nazo au waatakiwa kuwa nazo. sina uhaa na Iphone. Kwa android zip free apps na za kulipia. Sijui majumbo ya ibada yatachukuliaje challenge ya mtu badala ya kwenda na kitabu(Hard copy) kitakatfu anawenda na simu yeye kitabu itaatifu( Electonic copy) . So simu inakuwa kama kitabu . Any way hi ni mazungumzo baada ya habari......... Challenge nyingine wa mm mrstu nayona hapa ni Ukoef u wa apps katika lugha ya kiswahili. Kama ipo app ya biblia ya kiswahii nifahamishwe. Kama hakuna eveloper mnasamaje
Tuendeeee kujulishana app nyingine
weka basi namba mkuu..
For iPhones
1. Bible (Kiswahili(agano jipya & kale), English & na lugha zingine)
2. iBook (kusoma vitabu mbali mbali, novels, na kuvipanga kwenye shelf )
3. iFileExplorer (kuExchange data kati ya iphone yako na computer kupitia ip address)
4. Installous (kuDownload applications zilizopo kwenye App Store bure)
5. 3G unrestrictor (kuCheat applications za simu zinazohitaji wifi na kuzitumia kwa 3G ikiwemo kupiga video calls on 3G)
6. DreamBoard (kuWezesha kufanya simulation ya OS zingine kama Android, Windows Mobile, BlackBerry HD&SD kwenye i4n)
7. Quickoffice Pro (kutengeneza, kuedit microsoft office documents ie,,excel,word,access,powerpoint etc)
8. BUZZ Player, VLC Player (kuplay HD movies za format tofauti kwenye iPhone)
9. GlobeConvert (converter ya currency, length, weight etc)
10.Paint Studio, PhotoStudio, FL Studio (playing & editing audio and photos)
11. Aljazeera, Press TV, BBC, Skynews, CNN (live streaming applications...
12. Coolstreaming (watching live dstv channels over the internet)
iPhone Games:
1. Modern Combat 3 (size: 1.04GB)
2. FIFA 12 (size: 1.02GB)
3. Gangstar Rio (size: 813MB)
4. Gangstar MV (size: 439MB)
5. Brothers In Arms 2 (size: 266MB)
6. Avatar (size: 200MB)
7. InfinityBlade2 (size: 932MB)
8. Fast Five (size:773MB)
9. NOVA (size:580MB)
10.NFS Shift (size:312MB)
ni lazima uJailbreak ndio upate 3G unrestrictor. Hiyo ni 'tweak' app na inafanya kazi baada ya kupata access ya root files kwenye iPhone. fanya kuJailbreak kwanza..Nataka niipate iyo 3g unrestricter kweny iphone yangu lakini naambia kwanza ni jail break.......naomba nisaidiwe wa ndugu napata sn shida cwezi download anything above 100mb
Mx playerKwa anaefahamu media player nzuri yenye kucheza format mbalimbali za audio na video ktk android anijuze..
Mie sielewi chochote hapa...kwa hili nahitaji mwalimu na sehemu ya kusoma tuition...kweli kabsa haki ya mungu...mie najua simu ikiwa na pesa napiga na kutuma sms labda sikuhizi kuna camera music na tochi...haya mengine sijui games mara nini wala hata sijayajua...au ndio nazeeka vibaya??..
Teknolojia nimewaachia watoto basi nakuwa mgenin kabsaaa...
Kwani hawa samsung galaxy 2 ndio nani sasa? Android au i-phone?...na wale smart phones ndio nani tena?
Boraaaa ulikuwepo.Acha kua kilaza.
ni lazima uJailbreak ndio upate 3G unrestrictor. Hiyo ni 'tweak' app na inafanya kazi baada ya kupata access ya root files kwenye iPhone. fanya kuJailbreak kwanza..