Ni aibu kwa Mhimili wa Mahakama kutumia kikoa cha Blogspot hadi leo

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
Screenshot_2024-03-27-12-55-41-840_com.brave.browser-edit.jpg

Mara kadhaa nimemskia Jaji Mkuu akisema katika utawala wake amefanya mabadiliko makubwa ya mifumo na kuendesha kila kitu kwa njia za Digitali.

Lakini cha ajabu leo nimekutana na ukurasa rasmi wa Website ya Mahakama nchini ikiwa kwenye mtindo wa Blogspot tena ikiwa na tahadhari ya kuwa hatarishi kwa mtu anayeingia.

Screenshot_2024-03-27-11-50-14-421_com.brave.browser.jpg

Pia, aina ya uandishi unaotumika kwa kweli si mzuri. Ni uandishi wa mipasho unaodhalilisha taaluma ya Sheria nchini.
 
Back
Top Bottom