mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 843
- 1,363
first lady ampelekea nguza sabuni jela, ila haijajulikana maana uchaguzi haujaisha sasa sijui ni wa NCCR au CHADEMA au APPT au CCM mi sijui. ila anawakaribisha mafisadi jela:evil:
Huo udaku weka picha hapa!halafu haifai kwa mwanamume!!!
Hiyo avatar yako mkuu nimeikubali..