oyayakaranga
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 678
- 394
MhhhUnaakili timamu..Hicho ulichoandika umekitoa wapi..??
MhhhUnaakili timamu..Hicho ulichoandika umekitoa wapi..??
Mimi ni mwanamajumuiwewe unaishi mbingu ipi iliyona jamii forums kama yetu kumbe tecn imekuwa kwa kasi sana kuliko ninavyo fikilia aisee
Unazungumzia Ulaya ipi?? na wazungu wa aina gani unaowazungumzia?? This is too general, Nani alikwambia huku kwetu kuna jazba!! There is no human civilization without Christianity
Biblia imeandikwa na Binadamu...Binadamu hao walipata mafunuo kwa njia ya Roho Mtakatifu....
Maandishi na nyaraka nyingi ziliandikwa na watu mbalimbali..nyingine zilikuwa na mafunuo ya Mungu nyingine zilikosa mafunuo ya Mungu..
Zilizokuwa na mafunuo ya Mungu zilichsmbuliwa na kupitiwa kwa umakini na Mababa wa Kanisa wakavipitisha chini ya Mtaguso wa Efeso ndio likiitwa Neno la Mungu(Biblia)
Kama lile la mtume kwenda na kurudi toka mbinguni nalo halina ushahidi mkuu ile safari ya miraj.Unaliongeleaje hili?Lzm UKIMBIE manake Hoja huna.
Leta Ushahidi wa Andiko LISILOKUWA LA PAULO MWENYEWE Linalosema kuwa ALIKUTANA NA MWANAFUNZI WA YESU HATTA MMOJA.
Toka lini Mtu akajitolea USHAHIDI YEYE MWENYEWE na Ukakubalika?
We kweli umekwenda shule?
kama umesoma historia hii ktk Uislamu vizuri utakuwa umesoma kuwa watu waliokuwa pale baada ya kuambiwa kuwa safari hio ilitokea walikataa na kusema HAIWEZEKANI km wewe unavyokataa ndipo mtume wa Mungu alipotoa Ruksa kuulizwa maswali yyt kudhihirisha kuwa alisafiri kwa usiku mmoja toka Makkah(Saudi Arabia) mpk Palestine na kurudi. akaulizwa maswali mengi tu na wasiokuwa waislamu na kuyajibu yote na pia alitaja misafara ya wafanya biashara aliyokutana nayo njiani na wale walikuwa wakipinga wakaamua kuisubiri ile misafara na kuwauliza km kweli walimuona na WOTE wakahakiki kuwa asemayo ni kweli.Kama lile la mtume kwenda na kurudi toka mbinguni nalo halina ushahidi mkuu ile safari ya miraj.Unaliongeleaje hili?
Katika yote hii haijawahi niingia akilini. Mimi naamini miujiza au ufunuo wa namna hii lazima uwe na ushahidi usiotia shaka. Mwamedi alikuwa mfanyabiashara na alikuwa ametembea sana japo hakuwa na elimu.kama umesoma historia hii ktk Uislamu vizuri utakuwa umesoma kuwa watu waliokuwa pale baada ya kuambiwa kuwa safari hio ilitokea walikataa na kusema HAIWEZEKANI km wewe unavyokataa ndipo mtume wa Mungu alipotoa Ruksa kuulizwa maswali yyt kudhihirisha kuwa alisafiri kwa usiku mmoja toka Makkah(Saudi Arabia) mpk Palestine na kurudi. akaulizwa maswali mengi tu na wasiokuwa waislamu na kuyajibu yote na pia alitaja misafara ya wafanya biashara aliyokutana nayo njiani na wale walikuwa wakipinga wakaamua kuisubiri ile misafara na kuwauliza km kweli walimuona na WOTE wakahakiki kuwa asemayo ni kweli.
na misafara ile waliisubiri zaidi ya wiki kadhaa ifike.
Na kuhusu Safari ya kufika mbinguni HAKUNA chochote ktk stori hii kimeleta contradictions ktk Story yote.
upande wa Paulo HAKUNA Ushahidi wwt uliotolewa na ASIEKUWA PAULO kuwa Akisemacho kilitokea. na kingine cha kuongezea ni kuwa PAULO alipokuwa kiongozi wa warumi ALIUA MAMILION YA WAFUASI WA KWELI WA YESU na Ndio maana alipokwenda Antiokia wafuasi wa YESU walimpiga na kutaka kumuua ndio Akakimbia.
Kuamini kuwa MUUWAJI wa Wafuasi wa Yesu anawe kupewa Utume na Yesu mwenyewe ni Sawa na kukubali kuwa kuna uwezekano wa HITLER kupewa Utume kwa Wahayudi.
Hili linaweza ingia akilini mkuu?
Hata bi Aisha anaonekana kupishana na ile safari kwa sababu yeye anasema mzee baba alikuwa amelala pale usiku ule wakati mtume na masahaba wanasema alienda kimwili.Katika yote hii haijawahi niingia akilini.Mimi naamini miujiza au ufunuo wa namna hii lazima uwe na ushahidi usiotia shaka.Mwamedi alikuwa mfanyabiashara na alikuwa ametembea sana japo hakuwa na elimu.Pia ufunua na historia nyingi ambazo zinalink na vitabu vya Musa alizipata kupitia Waraqah ambaye vitabu vya historia vinasema alikuwa mtawa wa kikatoliki pamoja na Khadijah.Hawa walitosha kumsimulia mambo akayatengeneza kumfit kama ambavyo alitoa historia ya kukutana na mitume wa mwenyezi Mungu na uundwaji wa swala tano.Lakini ifike mahali tuseme tu kwamba hata shetani ana mafunuo yake japo ushahidi hata wa kwenda Jerusalem unatia shaka manake kipindi hicho hekalu lilikuwa halipo ila yeye alilikuta na akapaa kuanzia pale.Ndiyo maana wayahudi waliokuwa wakiishi Mecca walikuwa wakimcheka sana kwa kutwist story za vitabu vyao ili atimize ajenda yake.
haya maneno yako hayana tofauti na maneno ya wapiga viroba.Katika yote hii haijawahi niingia akilini.Mimi naamini miujiza au ufunuo wa namna hii lazima uwe na ushahidi usiotia shaka.Mwamedi alikuwa mfanyabiashara na alikuwa ametembea sana japo hakuwa na elimu.Pia ufunua na historia nyingi ambazo zinalink na vitabu vya Musa alizipata kupitia Waraqah ambaye vitabu vya historia vinasema alikuwa mtawa wa kikatoliki pamoja na Khadijah.Hawa walitosha kumsimulia mambo akayatengeneza kumfit kama ambavyo alitoa historia ya kukutana na mitume wa mwenyezi Mungu na uundwaji wa swala tano.Lakini ifike mahali tuseme tu kwamba hata shetani ana mafunuo yake japo ushahidi hata wa kwenda Jerusalem unatia shaka manake kipindi hicho hekalu lilikuwa halipo ila yeye alilikuta na akapaa kuanzia pale.Ndiyo maana wayahudi waliokuwa wakiishi Mecca walikuwa wakimcheka sana kwa kutwist story za vitabu vyao ili atimize ajenda yake.
Mimi natafuta elimu.Itakuwa ni jambo jema sana tukielimishana kwa ustaarabu bila kuwa na jazba yeyote.Hatujamuongelea Paulo ila tunafikirisha vichwa kutafuta authenicity ya safari(ndoto/imagination)za Mwamedi. Kama mnaamini mwenyezi Mungu alimtuma mtu asiyejua kusoma na kuandika kuwa nabii tunashindwaje na sisi wengine kuwa mwenyezi Mungu alimtumia Paulo muuaji kuwa mtume.haya maneno yako hayana tofauti na maneno ya wapiga viroba.
Unatoka kwenye mada kwa jazba za viroba.
uaathirika kijana.
Swali lilikuwa Vipi umkubali mtu aliyedai KAOTA NDOTO YA MCHANA?
Paulo HAKUWAHI kuonana na Yesu WALA WANAFUNZI WAKE YESU WOTE 12.
Leo hii asilimia 86% ya Agano Jipya ni maneno ya Paulo.
Amka kijana Kabla mauti hayajakupigia hodi.
achana na Ibada za Sanamu. Agano la kale na Jipya vyote vimekataza.
Chaguo ni lako. utaamua KUMUABUDU MUNGU MMOJA au utaabudu Sanamu la mzungu likisaidiwa na Maneno ya mtu aliyejipa utume mwenyewe!.
Tatizo lenu hampendi Mwamedi awe challenged.Mnatuambia kitabu chenu kilishushwa,sisi tunasema okay lakini tukianza kutafuta maarifa zaidi tunagundua kimekuwa compiled kwa zaidi ya miaka mia hamsini.Mnakuja tena na hoja kwamba hakijawahi kubadilika napo tunasema OK tunafukua tunagundua kimechanganywa maneno mengi tu yasiyokuwa ya kiarabu na kimewekewa ulinzi wa adhabu ya kifo kama kitahojiwa na kutafsiriwa tofauti.Jifunzeni kuwavumilia wenzenu na kuvumilia dini nyingine.haya maneno yako hayana tofauti na maneno ya wapiga viroba.
Unatoka kwenye mada kwa jazba za viroba.
uaathirika kijana.
Swali lilikuwa Vipi umkubali mtu aliyedai KAOTA NDOTO YA MCHANA?
Paulo HAKUWAHI kuonana na Yesu WALA WANAFUNZI WAKE YESU WOTE 12.
Leo hii asilimia 86% ya Agano Jipya ni maneno ya Paulo.
Amka kijana Kabla mauti hayajakupigia hodi.
achana na Ibada za Sanamu. Agano la kale na Jipya vyote vimekataza.
Chaguo ni lako. utaamua KUMUABUDU MUNGU MMOJA au utaabudu Sanamu la mzungu likisaidiwa na Maneno ya mtu aliyejipa utume mwenyewe!.
sasa ngonjera na mipasho ya nini?Tatizo lenu hampendi Mwamedi awe challenged.Mnatuambia kitabu chenu kilishushwa,sisi tunasema okay lakini tukianza kutafuta maarifa zaidi tunagundua kimekuwa compiled kwa zaidi ya miaka mia hamsini.Mnakuja tena na hoja kwamba hakijawahi kubadilika napo tunasema OK tunafukua tunagundua kimechanganywa maneno mengi tu yasiyokuwa ya kiarabu na kimewekewa ulinzi wa adhabu ya kifo kama kitahojiwa na kutafsiriwa tofauti.Jifunzeni kuwavumilia wenzenu na kuvumilia dini nyingine.Kuna nchi hamtaki watu wengine waeneze dini yao kwa sababu Mungu wenu allah hawez kujitetea wala kujipigania mpaka mumsaidie.Ikatokea mkaruhusu kwenye hizo nchi zingine Habari njema ipelekwe uislam tutausikia kwenye vitabu vya historia
Lugha unayotoa inaonesha kabisa kuwa huna hoja itakayonijenga au kunifanya niamini unachoaminisasa ngonjera na mipasho ya nini?
si uweke hio mifano hai hapa ya hayo madai yako km wewe ni mgalatia unaesema kweli?
Ohh nchi....ohhh neno jema blah...blah...!
weka madai yako kwa mifano hai au vyanzo vya hayo madai yako?
ukiambiwa usiingie JF baada ya kupiga viroba hausikii sasa unaona utumbo unaoandika?
Nitajie huo utafiti uliofanya km wewe hujalewa Gongo ya Jero.
unaendelea na ngonjera..?!Lugha unayotoa inaonesha kabisa kuwa huna hoja itakayonijenga au kunifanya niamini unachoamini
Did Muhammad only have one version of the Qur’an?unaendelea na ngonjera..?!
we si umeweka madai mengi huko juu kuhusu imani yangu?
Sasa achana na kwaya. leta ushahidi wa madai yako uelimishwe bure.
usilete ujanja wa kitoto kukimbilia self defence.