Ngumi zaendelea kurindiama manispaa ya singida

Isango

R I P
Jul 23, 2008
295
450
Ofisi ya mkurugenzi wa manispaa ya singida imegeuka kuwa uwanja wa ngumi tangu jana, baada ya leo asubuhi kuanza tena ngumi.

Jana ilikuwa diwani wa kata ya unyambwa mh. Shaaban satu dhidi ya mfanyakazi wa ofisi ya mkurugenzi kitengo cha ardhi bw. Ramadhani sumwa.

Leo imekuwa ni baina ya kaimu mkurugenzi mzee simon hoja na diwani wa kata ya unyamikumbi mh. Ikaku, suala la msingi ni mambo ya ufisadi wa ardhi katika manispaa unaofanywa na kikundi kidogo kisichotaka kuhojiwa.

Wanalinda heshima ya chama, wapo sasa ofisini wamejifungia kulinda heshima ya chama hawapelekani polisi......

Kikao kinaongozwa na meya salumu mohamed mahami.
 
Ukiona hivyo ujue watu wamechoka na hawawezi tena kuendelea kusubiri ndo maana wameamua kukubali kuwa "dawa ya mwizi ni kumuua"
 
mi nataka zitokee ngumi bungeni nione mizee ya ccm inavotolewa mchuzi
 
hadi raha kila kona burudani bado gogoni pale
Is it coincidence.....11.11.11,...everywhere is war,.....ndio maana hawa ndugu zetu(kama wapo anyway)_wajenzi huru wanaamini sana namba...ntalifanyia kazi hili,..maake mara mby,babat,arusha,singida,dar etc...kwa nini yote leo
 
OFISI YA MKURUGENZI WA MANISPAA YA SINGIDA IMEGEUKA KUWA UWANJA WA NGUMI TANGU JANA, BAADA YA LEO ASUBUHI KUANZA TENA NGUMI. JANA ILIKUWA DIWANI WA KATA YA UNYAMBWA MH.

SHAABAN SATU DHIDI YA MFANYAKAZI WA OFISI YA MKURUGENZI KITENGO CHA ARDHI BW. RAMADHANI SUMWA, LEO IMEKUWA NI BAINA YA KAIMU MKURUGENZI MZEE SIMON HOJA NA DIWANI WA KATA YA UNYAMIKUMBI MH. IKAKU, SUALA LA MSINGI NI MAMBO YA UFISADI WA ARDHI KATIKA MANISPAA UNAOFANYWA NA KIKUNDI KIDOGO KISICHOTAKA KUHOJIWA.

ULAJI UNAZIDI WANASEMA WANALINDA HESHIMA YA CHAMA, WAPO TENA OFISINI WANAJIFUNGIA KULINDA HESHIMA YA CHAMA HAWAPELEKANI POLISI...... kIKAO KINAONGOZWA NA MEYA SALUMU MOHAMED MAHAMI.

Hii inapendeza kwa kweli. Ukiona watu wamefikia huku ndio mwanzo mzuri wa uwajibikaji. Kama fulani anaringia ulinzi wa sheria, unatunga ya kwako fasta mnamalizana
 
Back
Top Bottom