Ngoooooo Ngoooooo HodiX3

Pazi

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
2,946
1,815
Habari zenu wa Kina Kaka na Kina Dada Wakubwa na Wadogo Mie naomba kukaribia Jamvini japo niliingia kwa kupita Dirisha la Nyuma kama Bus la Mbagala nikaja kuona kuna sehemu ya kujitambulisha Naombeni Kijana Mwenzenu mnipokee nisije kupotea humu bure ndio nashangaa shangaa kituoni hapa mpaka shingo inauma... Kijana mwenzenu Pazi.
 
Karibu sana kijana, jisikie kama JF (maana nikisema jisikie kama nyumbani, usikute nyumbani kwako kuna wapinzani wa JF)
 
Ndo maana mlango kidogo ubomoke! Uliingilia dirishani....lol


Pazi karibu saana.
 
Nawashukuru wote jamani kwa ukarimu wenu wa kunikaribisha mwenyezimungu azidi kuwapa mazuri na moyo huo huo mzuri na awaepushe kwenye mabaya na mujiepushe kwenye mabaya.
 
welcome.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom