Ngono kwenye mapenzi; Why always us?

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Over and over, wanaume ndo wamekuwa wakifukuzia kitendo.
Wadada ndo wepesi wa kusema muda bado, tusubiri kidogo na visingizio vyote.
Can that change, at least wakati huu wa ukweli na uwazi?
 
wapo tunao wasubirisha wadada pia

Mna bahati sana nyie.
Huku kwetu when they need it, they dont say it. Utaona tu mara simu kibao, hujamwambia kama upo ashakuja gheto... Mara achezee makorokoro yako, mradi tu vurugu.
 
mwanaume anataman mwanamke kwanza then upendo unafwata kama upo ila mwanamke anapenda kwanza then tamaa inafuata so ukichange huo uhalisia bac wanawake wataanza kuask 4 ngono kutoka mwa mwanaume na mahitaj ya kingono baina ya jinsia hizi mbili yanatofautiana
 
Kumbe?
Sasa, wewe si binti? Unapojisikia hamu and you know it, huezi ambia kichuna wako vyenye unafeel... Kwamba you are horny and you need some sugar?
 
wee, lazima kuomba mchezo, unaweza kujidai unangoja kumbe wenzio wanaendelea kukwea, mi nipo tiyani kungoja kama niki prove demu ni bikra, lazima nijaribu kama ipo bwana
 
Hahahaaa! Im too old for the old style a.k.a GRANDMA STYLE ya kuombana game in words!!! Very longtime ago!!! Mi sikuhizi najua watu wazima WANASOMANA SIGNAL!!!! like a guy kama anataka mzigo, anatengeneza mazingira, kama kukualika Picnic au for a drink kwenye bar yenye gesti!!! (wengine nunda, mtu kakuita for a drink kumbe keshalipia chumba!!!! Jst incase the gods are in his favor!!! LOLEST!!!!) Then if you are not ready you pass the invitations, na kama upo ready you unaenda, na ukifika huko NO UNECESSARY DRAMAS, mnakunywa alafu vitendo tu ndo vinafuta!!!! I dont know, i guess it depends on age!!! Sipati picha a guy in his 30s begging for game in words!!!!:photo: LOL!!!!
 
ok, laraaaaaaa!
 
It doesn't matter, whether you sex with a man on the first date or after 20years, it will make no difference, i always say, the earlier the better, if a relationship is to work, trust me, even if u had sex two minutes after meeting, it will still work, if it wasn't meant to work, even if u take 20years to give him sex,it wont work,so the earlier the better to save time and resources damn, no woman is cheap, for giving a >>>>>>>>>> first date, she is wiser, than other ladies,
 
Back
Top Bottom