za wapare nyingi zinaanzia na m
msuya
mshana
mzava
mnyika
msemo
mbaga
wagogo: malechela lusinde
kwa kifupi tu majina ya samaki wote walioko ziwa victoria wajita waliamua wajiite hayo majina, mfano
Masato, Nyansato, Nyafuru, Nyambofu, Mafuru, Nyangere, Nyamumi, na mengineyo, haya ni majina ya samaki wanaopatikana ziwa victoria, au wamakonde na wao vifaa vya baiskeli nayo wamejiita wenyewe, kama chukani, pedeli, chipoku, kengele n.k, wenzetu wangoni majina ya wanyama wa porini ndio waliamua kujiita, mfano nguruwe, mafisi, katembo, n.k
Msovela
Mdemu
Kalinga
Chumi
Chavala
Myinga
Mnyigumba
Masonda
Nyakunga
Kitalika
Chonya,mahegula
Wanyiramba
Makala
Shamakala
Kilimba
Kyoma
Mkoma
Nchemba
Mwambu
Nsinsia
Apollo
Kiema
Wairaq
Sulle
Massay
Sandemu
Panga
Ratsim
Hombo
Bayo
Akonaay
Murangi
Mungi
Lohay
Endeleza preta........