Yajue Majina ya Ukoo Katika Makabila mbalimbali Tanzania

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Wana JF;

Inasemekana Tanzania ina Makabila 126 na katika makabila haya kuna Koo au majina mbalimbali. Je tunaweza kusaidiana kutaja majina haya ya Ukoo au makabila yaliyo Common?

Majina ni kama ufuatavyo:

Update No. 2

1. Wachagga
  • Massawe
  • Mushi
  • Mosha
  • Temu
  • Mtei
  • Kimaro
  • Kimario
  • Mosha
  • Marealle
  • Lyimo
  • Chuwa
  • Mallya
  • Kisaka
  • Komu
  • Mchau
  • Silayo
  • Makundi
  • Mboro
  • Sangawe
  • Tafadhali endelea . . .
2. Wahaya:
  • Rugaimukamu
  • Rutakyamirwa
  • Rutabanzibwa
  • Tafadhali Endelea
3. Wanyakyusa
  • Tuntufye
  • Mwakyusa
  • Mwakalebela
  • Ntitu
  • Mwakosya
  • Andongolile
  • Bhongwenda
  • Mmasyanju
  • Anyasime
  • Akasopo
  • Mwamfupe
  • Mwafwetelele
  • Mwangafi
  • Tujhobepo
  • Mwasongwe
  • Mwakatimbo
  • Mwamfupe
  • Mwaiapaja
  • Mwaisaka
  • Mwakamela
  • Mwanjelwa
  • Mwakilasa
  • Mwasakafyuka
  • Mwakyusa
  • Mwakatumbula
  • Mwasubila
  • Mwankenja
  • Mwakatundu
  • Mwakalinga
  • Mwakyembe
  • Mwakyambiki
  • Mwaipasi
  • Mwakapugi
  • Mwaisemba
  • Mwandemani
  • Mwakoba
  • Mwakajinga
  • Mwanguku
  • Mwalwisi
  • Mwalupindi
  • Mwamugobole
  • Mwankemwa
  • Tafadhali endeleza
4. Wangoni
  • soko
  • moyo
  • nguruwe
  • mbuzi
  • fusi
  • nyoni
  • Ndunguru
  • tembo
  • njovu
  • Komba
  • Mapunda
  • Gama
  • Mpambalioto
  • Songea
  • Mbano
  • Mtazama
  • Maseko
  • Zwangedaba
  • Mpezeni
  • Endeleza tafadhali . . .
5. Wajaluo
  • Otieno
  • Onditi
  • Omolo
  • Owino
  • Omondi
  • Ojwang'
  • Osodo
  • Odhiambo
  • Okinyi
  • Odipo
  • Ochuodho
  • Ondiek
  • Onyango
  • Otieno
  • Oludo
  • Okeyo
  • Oluoch
  • nk
6. Wakurya
  • Chacha
  • Mwita
  • Marwa
  • Matiku
  • Wambura
  • Nyarukamu
  • nk
7. Wasambaa
  • Semhando
  • Shelukindo
  • nk

8. Wasukuma...
  • Mabula
  • Masanja
  • Magembe
  • Masunga
  • Singiri
8. Wafipa
  • nkoswe
  • mpambwe
  • khamsini
  • mwanakatwe
  • nswima
  • mzindakaya
  • simbakavu
  • kagosha
  • mwananzila
  • mwanachifunda
  • sichone

  • Endeleza tafadhali
9. Wanyasa
  • komba
  • ndomba
  • nchimbi
  • ndunguru
  • kumburu
  • nkondola
  • kanjolonga
9. Wamatengo
  • Komba

10. Wakinga
  • Chande
  • Sanga
  • Msigwa
  • Fungo

11. Wapare
  • Mbwambo
  • Mkwizu
  • Msuya
  • Mshana
  • Msangi
  • Twazihirwa
  • Nimzihirwa
  • Tumsifu
  • Ombeni
  • Mkazeni
  • Mbazi
  • Sifuni

12. Wabondei
  • Fungo

13. Wahehe
  • Mkwawa
  • Kihwele
  • Mng'ong'o

14. Wajita
  • Masatu
  • Manyama
  • Mafuru
  • Mafwere
  • Mafwimbo
  • Magafu
  • Majigo
  • Majubu

15. Wamakonde
  • Bachikeli
  • Chumuni
  • Chilingi
  • Mutoka
  • Nyumba
  • Chimu

16. Waha

  • Twagiraneza
  • Zunguye
  • Ntuyabaliwe
  • Twakaniki
  • Hungu

17. Wagogo
  • Chipanha
  • Chigwiyemisi
  • Chihonyhi
  • Chiligati
  • Chibehe
  • Chibulunje
  • Chikoti
  • Malecela
Tafadhali naomba tusaidiane kutaja majina mbalimbali ya Ukoo au Makabila kwa kila Kabila na vile vile tuendeleze listi hii hadi yafike makabila 126.
 
Wafipa,kuna nkoswe, mpambwe, khamsini, mwanakatwe, nswima, mzindakaya, simbakavu, ngoni tribe of war kuna soko, moyo, nguruwe, mbuzi, fusi, nyoni, tembo, njovu, na wengineo jamani mkisikia akina komba, ndomba, nchimbi, ndunguru, kumburu, nkondola hawa si wangoni hawa ni wanyasa watu wa ziwani mbinga huko, wangoni wenyewe halisi ndo hayo majina ya juu hapo niliyowawekea akina soko, kuna kina kanjolonga
 
Mkuu, hayo majina hakuna ambayo umekosea au kuongeza utani?

Na hawa Wanyasa ni Kabila la Tanzania au Malawi?
 
wahaya: Rutahinzibwa, Rweyemamu, Mutakhyawa, Rwegoshola, Rwiza,
wasukuma: maganga, masanja, mabula, shija,
 
Mkuu, hayo majina hakuna ambayo umekosea au kuongeza utani?

Na hawa Wanyasa ni Kabila la Tanzania au Malawi?

mkoa wa ruvuma makabila yake ni wangoni wa hyao, wa ndendeule, wanyasa au wanyanja na wa manda. hayo majina ya wangoni hakuna chumvi hapo mkuu
 
Tehe usicheke sana unajua hata wazungu wapo akina mbawala, si mnamkumbuka john deer hilo jina namba nne kuna mchezaji wa majimaji fc aliitwa ibrahim mbuzi.
 
mkoa wa ruvuma makabila yake ni wangoni wa hyao, wa ndendeule, wanyasa au wanyanja na wa manda. hayo majina ya wangoni hakuna chumvi hapo mkuu

Poa Mkuu;

Nimekusoma. Hebu tushushie basi majina ya Ukoo ya hayo makabila Mkuu
 
Wana JF;

Inasemekana Tanzania ina Makabila 126 na katika makabila haya kuna Koo mbalimbali. Je tunaweza kusaidiana kutaja majina haya ya Ukoo yaliyo Common?

Ngoja nijaribu kufungua Dimba:

[/LIST]2. Wahaya:
  • Rugaimukamu
  • Rutakyamirwa
  • Rutabanzibwa
  • Tafadhali Endelea
[/COLOR][/SIZE][/FONT]

Hizo sio koo za wahaya, na ukienda uhayani mara nyingi watu hawatumii majina ya koo zao ila majina yao ya kimila wanayopewa utotoni. Ni Rugaimukamu wachache mno ambao wanaundugu wowote. Baadhi ya koo za wahaya ninazozifahamu ni:

Hinda
Nkango
 
Wasambaa:

Shelukindo
Shemahonge
Shehoza
Shemdoe
Shemeji (lol)
Shetani (lolz)
 
Hizo sio koo za wahaya, na ukienda uhayani mara nyingi watu hawatumii majina ya koo zao ila majina yao ya kimila wanayopewa utotoni. Ni Rugaimukamu wachache mno ambao wanaundugu wowote. Baadhi ya koo za wahaya ninazozifahamu ni:

Hinda
Nkango

Tumekusoma Mkuu;

Labda itakuwa vyema ukitaja hizo koo. Lakini maana halisi tulikuwa tunapenda tujue SURNAMES za Kijadi.

Kwa anayeweza, hata tukiambiwa maana ya majina inafaa.
 
Superman mambo vipi arifu.

Endeleza mshikamano wa kitaifa, mambo ya makabila hayana mashiko wakati huu wa kuoana toka makabila mbalimbali.

Mfano babu yangu mzaa baba ni mchaga, wakati mke wa babu ni mhaya. Baba anaitwa Rugaimukamu Kimario.

Mama yangu anaitwa Kabula Mabula. Hivyo Mimi naitwa Mabula Rugaimukamu Kimario.

Mke wangu anaitwa Atu Lusajo.

Mwanangu anaitwa Lusajo Mabula Rugaimukamu Kimario.

Mwanangu Sekela Lusajo kaolewa na M-australia Ed Smith.

Mjukuu wangu Atu Sekela Ed Smith. Sijui atakuwa wa ukoo au kabila gani.
 
Wafipa,kuna nkoswe, mpambwe, khamsini, mwanakatwe, nswima, mzindakaya, simbakavu, ngoni tribe of war kuna soko, moyo, nguruwe, mbuzi, fusi, nyoni, tembo, njovu, na wengineo jamani mkisikia akina komba, ndomba, nchimbi, ndunguru, kumburu, nkondola hawa si wangoni hawa ni wanyasa watu wa ziwani mbinga huko, wangoni wenyewe halisi ndo hayo majina ya juu hapo niliyowawekea akina soko, kuna kina kanjolonga

Chimunguru, sio kweli kuwa akina Komba wote ni Wanyasa. Kuna akina Komba nawafahamu ambao ni wangoni, wapo pia wamatengo. Kwa hiyo inategemea huyo Komba katokea wapi.
 
mkoa wa ruvuma makabila yake ni wangoni wa hyao, wa ndendeule, wanyasa au wanyanja na wa manda. hayo majina ya wangoni hakuna chumvi hapo mkuu

umesahau kabila kubwa sana la Wamatengo (mbinga pale), sasa sijui umewachanganya kwenye kabila gani? naona majina yao akina Ndunguru umewaweka kwenye wanyasa na wakati wengi wa Ndunguru ni wamatengo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom