Ngereja atasubiri kuwajibishwa? Au ataachia ngazi kwa ridhaa yake.

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Rais analo jukumu la kumuwajibisha Ngereja. Lakini je? Waziri huyu atasubiri kauli ya rais kumpoka kiti badala ya yeye mwenyewe kuchukuwa maamuzi ya busara kuachia ngazi! Ikiwa JK atapiga kimya kama kawaida yake, ni nani atamfunga paka kengele?
 
Bongo hatuna utamaduni wa kuwajibika! Atajitokeza kama wenzie na kusema "Sijiuzulu ng'o"...nyie subirini tu!
 
Back
Top Bottom