Ngeleja achafua hali ya hewa bungeni

Sikuona chochote alichofanya nishati na madini zaidi ya maneno tu,oh mara tatizo la umeme litakua historia,matokeo yake likazidi kuongezeka.pia kuna suala la uadilifu kwa huyu mtu kwa nini anatuhumiwa ktk mambo mengi ya ubadhilifu,dhuluma,kutumia madaraka vibaya,ikiwa pamoja na kufukuzisha watu kazi na kuwaharibia maisha yao na familia zao.nina wasiwasi na kazi wanayotarajia kumpa labda isihusishe maisha ya watu moja kwa moja,maana viongozi wa namna hii wanajali maisha yao binafsi na future ya watoto wao na kuangamiza watoto wa wengine ili wa kwao waishi vizuri hapa duniani huku wakisahau kuwa mwisho wa siku watasimama kujibu mbele ya Mungu kwa hukumu

Aliposema tatizo la umeme litakuwa historia hamkumwelewa alitaka kusema umeme ni suala nyeti laweza mngoa hata waziri au waziri mkuu
 
Kwa mtu kama Ngeleja cheo si dhamana na wala si kuwatumikia wananchi bali ni kujinufaisha yeye na familia yake. Hatuwezi kuendelea hata siku moja tukiwa na viongozi aina ya Ngeleja ambao siku zote wanawaza kuifisadi nchi badala ya kuwaletea maendeleo wananchi.
Baada ya kutemwa uwaziri ni kweli amekuwa na hasiara sana .Alichokuwa anafanya Bungeni haikuwa akili yake ya kawaida maana ilikuwa ni mara ya kwanza kuchangia kama Mbunge so he was learning.Ila alianzia pabaya ambapo hajui anacho kisema .Najua Ngeleja unatamba na ukibisha nisema lini na wapi ulimsema ukiwa umepata kilevi .Ngeleja anatamba kwamba soon ataibuka tena kwa kishindo na wanao lia watalia zaidi .Akima maanisha kwamba muda wowote anaweza kuukwaa ulaji mkubwa zaidi ya Ubunge .Mimi naishi hapa Tanzania Nchi ambayo ukisikia tetesi basi ujue tayari issue tayari .Kwa uwezo mdogo wa Ngeleja kunywa na kuanza kutamba na juzi kubwabwaja bungeni nimeshawishika kutaka kuamini asemayo.Wana JF sasa tutege masikio muda wotre tusikie kama kweli Tanzania mtu aliye shindwa kazi hupewa ulaji zaidi ? Maana tumesha ona wengi ama Ubalozi ama Ukuu wa Wilaya nk .Sasa anakuja Ngeleja povu lile halikuwa la kawaida .Tegeni masikio niko naye koo kwa koo sasa .
 
Mnaleta bajeti ya harusi bungeni mkiamb
yaani muda wote mnawaza mambo ya ngono tu hakuna mfano mwingine wa kutoa mpaka harusi maana mwisho wake ni kuingia chumbani..CCM bana akili zenu za ajabu sana...
 
yaani muda wote mnawaza mambo ya ngono tu hakuna mfano mwingine wa kutoa mpaka harusi maana mwisho wake ni kuingia chumbani..CCM bana akili zenu za ajabu sana...
Na 2015 Mbowe atakapo mtimua padri Slaa akirudi CCM tunamfungisha Ndoa hata ya kwa DC na huyo kimada wake, maana CCM tunawaza Ndoa sio uzinifu Kama kwenu.
 
Na 2015 Mbowe atakapo mtimua padri Slaa akirudi CCM tunamfungisha Ndoa hata ya kwa DC na huyo kimada wake, maana CCM tunawaza Ndoa sio uzinifu Kama kwenu.

Mkuu ilikuwa lazima uchangie hii mada kama hukuwa na cha kusema ?
 
Anadhani kupanua mdomo ni formula! Slaa anaingiaje kwenye suala la Ngeleja? Hayo ni maisha yake binafsi ambayo ameyaweka public na kila mtu anajua kuliko nyie mnaotumia kodi zetu kuharibu mama na dada zetu. Dawa yenu ndo naipakua hivi hakuna atakayesalimika.
 
Back
Top Bottom