muhosni
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 1,108
- 152
- Thread starter
- #21
Huyu jamaa analeta utani huyu anamshika simba sharubu... jamaa wakiuliza tu Vasco da Gama anamkana na kuwakabidhi wamchukue waende nae.... anafikiria tz ni sawa na cuba au venezuela... subiri niandike email sasa hivi kuumuuliza barozi wa marekani kama hayo madai ya huyu jamaa ni ya kweli, tumechoka ni hizi propaganda za kitoto!!!!
Eheeee, leeeo, Ngawaiya atakoma kuropoka na kutafuta sifa kwa mafisadi wa ccm. M4wdie balozi hii post mkuu aanzishe sebene na ccm