Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,322
- 219,645
Mwenyekiti wa UWT inayodaiwa kuwa ni Jumuiya ya Wanawake ya CCM , Marry Chatanda ameingizwa Mkenge huko Ngara , baada ya kukusanyiwa watu wa soko la Ngara na kuelezwa kwamba ni Wanachama wa Chadema walioacha chama chake chao na kuhamia ccm.
Katika Utapeli huo Chatanda amekabidhiwa Vitambaa kadhaa na vijora viwili vilivyofana na bendera na sare za Chadema .
Ukweli ni kwamba Hakuna Mwanachama yeyote wa Chadema Ngara aliyehamia ccm , hizi ni Sarakasi za Chatanda na wapambe wake