Ney Wa Mitego: Namchukia Ostaz Juma, Hata Salamu Yangu Siwezi Kumpa

Ibrahim300

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
390
68
Mkasa wa Ostaz Juma na PNC linaweza kutajwa kuwa moja kati ya matukio yaliyozungumzwa zaidi kwa wiki iliyopitwa kupitia mitandao ya kijamii na baadae kuwa topic kwenye radio na television wiki iliyopita.

Ingawa wasanii wengi walilaani kitendo hicho, rapper wa Manzese, Nay wa Mitego yeye aliiambia Bongo Dot Home ya 100.5 Times Fm kuwa kitendo alichokifanya Ostaz Juma kupost picha zinazomuoenesha PNC akimpigia magoti, kwa upande wake amemkosea yeye hata kuliko PNC mwenyewe.

"kumpigia mtu magoti kwa ajili ya kuomba msamaha ni sahihi. Lakini kuna upigiaji wa magoti mwingine ambao baadae unaweza kuonesha picha mbaya kuwa umedhamilia kumdhalilisha. Halafu Ostaz Juma hana nidhamu halafu ni mtu ambaye hajitambui. Vijisenti anavyovipata nadhani ndivyo vinampa jeuri ya kudhalilisha wasanii wenzetu, sio kitu kizuri.

"Mimi tangu nilipoona hizo picha nilisema siwezi kumpenda hata siku moja, hata salamu yangu siwezi kumpa. Siwezi kumheshimu hata kidogo. Nitamdharau kuliko kitu chochote, kuliko mtu yeyote aliyewahi kunikosea sana. Ila katika watu ambao waliowahi kunikosea, nafikiri mimi Ostaz Juma amenikosea kupita maelezo. Kuliko alivyomkosea PNC mwenyewe." Nay wa Mitego

Stori: bkuHABARI Blog
 
Muda si mrefu Ostadh ataimbwaa chezea Ney weyeeee!!!!!!
 
Huyu Jamaa Ustaz Juma bora jina lake likomee hapo hapo may be ajiite Ustaz Juma na Matapeli. Musoma hakunaga Ujinga wa hivyo.
 
Nilipoona hio kitu nilijua tu Yule ostaz ametengeneza hayo mazingira! Ila Yule ----- ni mshamba Sana alichokifanya ni ufala number moja
 
Hizi ni akili za kitoto kabisa ni wazi Ney hakuanza kumchukia Ostadh juma leo.

Ney yeye antakiwa atuthibitishie kama yuko parfect.
Ostadh juma alicho fanya alikosea na aliomba msamaha.

Hivyo sioni sababu ya kuchukia kiasi hiki.
 
Hizi ni akili za kitoto kabisa ni wazi Ney hakuanza kumchukia Ostadh juma leo.

Ney yeye antakiwa atuthibitishie kama yuko parfect.
Ostadh juma alicho fanya alikosea na aliomba msamaha.

Hivyo sioni sababu ya kuchukia kiasi hiki.

we jamaa unamtetea Sana ustadhat Juma dah
 
we jamaa unamtetea Sana ustadhat Juma dah
Sio kwamba na mtetea tuu hata mimi kitendo alicho tuhumiwa kukifanya kilinikera sana.

lakini aliomba msamaha nami naona ana stahili msamha kama binadamu wengine wanao tukosea kila leo na tuna wasamehe.
 
Haisaidii mchukie usimchukie hakuna utachobadilisha we kazi kuimba kwaya zako upate vijisent vyako Ostaz hakusaidii chochote mwenyewe PNC hajamind ka wewe,. Fanya yakoo kamwambie na kitale...
 
o. juma kwa kitendo alichomfanyia PNC ina muweka uwazi ushamba wake:yuck:
 
Ustadhi juma mutu ya pakee neema wa mitego nayeye tutaona picha akimuomba msamaha ustadhi Juma chezeea ustadhi juma na musoma weiweee!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom