The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,082
Halafu ukute wakwe hawana complications aisee hata ukiwa nervous unaweza ku-relax kidogo.Bramo unachotakiwa kaka ni ku Relax... na uwachukulie kama ndugu zako... after all ndio mwaungana... Hakikisha umevalia vizuri but usizidishe saana, alafu kama ni mpenzi wa Perfume... Please just a drop - usimiminie nyiiiingi, na kama ni mtu wa swagger fulani hivi... nakusihi usilete pose saana.... Hata hivo kuenda kwa Wakwe siku zoote lazima onesha nidham... kama uko saaana nervous technique moja wapo ni kutanisha mikono yako mbele (yaani ka kwa adabu fulani...) sio kifuani - usawa wa chini ya kitovu.... wakati wa kutoka kutanisha mikono yako nyuma.... Kwa wale wanaoelewa it speaks volumes about the mchumba... Make a KILLING first impression... it will last siku zooote ktk akili yao... BEST OF LUCK...