Mtaalam
JF-Expert Member
- Oct 1, 2007
- 1,370
- 234
labda ni katika kuhudhulia kikao cha Harusi tuliyotangaziwa ya Meghji na muungwana mdogo
teh teh teheeee jamani mbavu zangu mie!!!
labda ni katika kuhudhulia kikao cha Harusi tuliyotangaziwa ya Meghji na muungwana mdogo
labda ni katika kuhudhulia kikao cha Harusi tuliyotangaziwa ya Meghji na muungwana mdogo
Meghji ana miaka 60, anaolewa tena usiku huu? Au ni Meghji gani unayemzungumzia?
Ina maana mtu wa miaka 60 hawezi kuolewa? au? sielewi!
mkjj....
ktk hii thread nilikujibu kwa utani tu nikachukua bandiko la SHETANI na kuweka hapa,nashangaa imefutwa.umeifuta wewe au MODERATORS?naomba unieleweshe.
mbavu zangu mie...hehe kwi kwi kwimkuuu ages kama hizo ndio watamu kuwaoa hao.
Meghji ana miaka 60, anaolewa tena usiku huu? Au ni Meghji gani unayemzungumzia?
wewe una matatizo mimi nafikiri.. sasa waafrika hapo tumeingia vipi.... dunia ina watu zaidi ya bilioni 6... je umekwisha fanya uchunguzi kwa watu wote hao na kuona kwamba waafrika TUU ndio wapo hivyo... kama unataka kujibu hoja mjibu aliyekujibu yeye binafsi na usitake kuwaingiza watu wote humu.... kwa nini usiseme wewe na familia yako pamoja na huyo unaye mjibu hoja ndivyo mlivyo????kama maisha yamekushinda usitake kuanza kulaumu wengine kaa pembeni na sisi waafrika tutajenga nchi zetu halafu wewe utakuja kuishi tuu na kula bure kutokana na jasho letu manake ndio kitu kutokana na maneno yako unachoonyesha unaweza kufanya (kukimbia matatizo kwa kutoa majibu rahisi)......kumbuka ukitaka kusafisha mfereji lazima uingie na uchafuke ndio uweze kutoa uchafu na sio kukaa kwenye uzio wake na kunyoosha kidole mbona maji hayaendi na kuanza kusingizia mvua, mikojo n.k.......Hold on a minute.. kabla hujakurupuka na mipasho yako chukua taabu ya kusoma kilichoandikwa japo kidogo. Wapi nimeandika nataka chanzo cha hiyo habari?
Kweli wafrika ndio tulivyo.....
Jamani, hebu nifahamisheni cha ajabu ni nini? Jee cha ajabu ni mawaziri kuitwa Ikulu? Chochote kitachojiri huko baada ya kuitwa, cha ajabu ni nini? hebu tuwe productive kidoooogo. Mi sioni cha ajabu hapa, hata iwe kuna re-shuffle, ni nini cha ajabu? hamkumbuki kuwa hakuna awamu iliyokuwa ikiwaingiza na kuwatowa mawaziri kama ilivyokuwa awamu ya kwanza, awamu ya Nyerere, na nini alichokitengeneza mpaka kufa kwake? si alituwacha maskini wa kutupwa, tupo hoi, hohe hahe. Sasa nyinyi mnategemea nini kutoka kwa hiki kitoto sijui kijukuu cha system hiyo hiyo aliyoiacha yule mzee? Wa-Tanzania ni watu wa kushangaza kweli, kwa sababu mnachunguza, mnachokonowa, mnasema saaana, mnajuwa yote yanayojiri na yatayojiri lakini mnashindwa kujuwa au kuelewa kuwa system ni ileile na bado iko kazini. Jee mnaijuwa system ni nini?
Jamani wacha awaite kila siku, usiku na mchana ndio iwe nini? kama jamaa mmoja alivyosema hapo juu, ni paty tuu, kweli inawezekana kuwa ni party tuu. Yaani mnashindwa kuelewa simply, kuwa anapofukuzwa waziri au kupelekwa kwingine, haiwezekani wakaitwa mawaziri woote. huitwa yule tuu anae limwa!
wewe una matatizo mimi nafikiri.. sasa waafrika hapo tumeingia vipi.... dunia ina watu zaidi ya bilioni 6... je umekwisha fanya uchunguzi kwa watu wote hao na kuona kwamba waafrika TUU ndio wapo hivyo... kama unataka kujibu hoja mjibu aliyekujibu yeye binafsi na usitake kuwaingiza watu wote humu.... kwa nini usiseme wewe na familia yako pamoja na huyo unaye mjibu hoja ndivyo mlivyo????kama maisha yamekushinda usitake kuanza kulaumu wengine kaa pembeni na sisi waafrika tutajenga nchi zetu halafu wewe utakuja kuishi tuu na kula bure kutokana na jasho letu manake ndio kitu kutokana na maneno yako unachoonyesha unaweza kufanya (kukimbia matatizo kwa kutoa majibu rahisi)......kumbuka ukitaka kusafisha mfereji lazima uingie na uchafuke ndio uweze kutoa uchafu na sio kukaa kwenye uzio wake na kunyoosha kidole mbona maji hayaendi na kuanza kusingizia mvua, mikojo n.k.......
Nicheke mie Asha. Kwani si walifika Rais akawaaga kuwa anakwenda Kenya kusuluhisha? Handsome JK bwana!
Asha