New members nimapandikizi?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nimechunguz hawa New members wote naona ukiongelea kuhusu chama tawala na serikali yake Mishipa inawavutika je nauliza wamepandikizwa humu JF??na Magamba? nijulisheni au na wanaajamvi fuatilieni hii kitu!!au niwale waliopewa Ban ndani ya JF??
 
Mkuu hii kitu hata mimi nilishaistukia siku nyingi kwani sasa hivi kunaongezeko la ghafla la wanachama kwa siku ni zaidi ya watu 100 wanajiunga na thread nyingi au comment za hawa juniour member zinaonekana kama zinasupport magamba. tuwe makini sana magamba wpo kazini!!!!
 
Kwanza hawana ethics wanatusi ukiongelea upinza utadhani umeongelea uhaini mimi kibinafsi siwaelewi na waliowenge member,Junior member!!lakini ngoja tusubiri!
 
Jamani wengine na heshima zetu kutuia mapandikizi sio nidhamu atiii.....

anyway, kwenye msafara wa kenge samaki tupo
 
Hawa wote wameingia wakati mwana wa mfalme ameingia Tanzania na wamekuja kuhamasisha mambo ya Ucameroon!
 
Sio mapandikizi, mara nyingi pandikizi asili yake ni kile kitu unachotumia
kupandikizia yaani unaboresha tu! Labda useme MAGUGU - Mi sichangii
narekebisha Lugha tu!
 
Nimechunguz hawa New members wote naona ukiongelea kuhusu chama tawala na serikali yake Mishipa inawavutika je nauliza wamepandikizwa humu JF??na Magamba? nijulisheni au na wanaajamvi fuatilieni hii kitu!!au niwale waliopewa Ban ndani ya JF??

nadhani katika dunia ya sasa kila mtu anaruhusiwa kuongea kile anachotaka na kutoa mawao yake... as long havunji sheria za JF.... since JF ni ya watu wote na si ya watu walio upande flani ....

sasa mkuu kazi ni kwako wakitoa hoja jibu kwa hoja.... hoja ikikushinda unaweza ukafanya kama mimi nifanyavyo kule jukwaa la siasa nabaki msomaji nikijifunza....

there was a wise man once said "sometimes you have to agree to disagree"
 
Nepi atakuwa amewapa darasa jinsi ya kujiunga na kutumia JF.
 
Nimechunguz hawa New members wote naona ukiongelea kuhusu chama tawala na serikali yake Mishipa inawavutika je nauliza wamepandikizwa humu JF??na Magamba? nijulisheni au na wanaajamvi fuatilieni hii kitu!!au niwale waliopewa Ban ndani ya JF??

Umejua leo mkuu? Hiyo ni baada ya propaganda ya kujivua gamba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom