Humu hatuombi. Analengeshewa maokoto, akiokota shauri yake.Jesca hum ukiombwa usikubali wanatangazana
Karibu sana Jesca, heri ya mwaka mpya pia.Habari Member wenzangu,
Naitwa Jesca mm ni mgeni nimefurahi kujiunga JF.
hahahHumu hatuombi. Analengeshewa maokoto, akiokota shauri yake.
mkuu hiyo ni id mpya ya popoma wetu kaja tena kivingine.Karibu sana Jesca, heri ya mwaka mpya pia.
Jina la Jesca ni jini ninalolipenda kuliko majina yote ya kike!
Karibu Jf kama ni mgeni kweli, ni mahali pazuri sana ila yanahitajika umakini mkubwa kwa kiasi chake.
Sitaki kuamini kaka, huyu ni New member , tuamini hivyo!mkuu hiyo ni id mpya ya popoma wetu kaja tena kivingine.
kaka niamini mim huyu ni yeye ngoja nimtag hapa ila anamdomo mchafu huyu! GENTAMYCINESitaki kuamini kaka, huyu ni New member , tuamini hivyo!
Happy New year bwana.
Oya weeHabari Member wenzangu,
Naitwa Jesca mm ni mgeni nimefurahi kujiunga JF.