nasssen
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 482
- 506
Wanajamvi habari zenu za saizi. bila kupoteza muda ni kwamba udsm wametoa medical examination form unayotakiwa kuidownload na kwenda kuijaza hospitalini au kwny kituo chochote cha afya kinachotambulika na serikali. pia unatakiwa ujaze nakala mbili za fomu hiyo ambapo moja itatumika kwny registration na nyigine kama kumbukumbu chuoni. form inapatikana hapa: www.udsm.ac.tz/announcements/announcement.php?id=501&intVariationID=1&szTitle=Current