Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,232
- 113,610
Napenda kuchukua fursa hii kuwatambulisha rasmi hapa jamvini kwa niaba yao mahabubu wawili ambao ni wanachama hapa tokea mwaka 2007.
Mahabubu hao ni 'ngosha' Steve Dii na 'check sista' Gaijin. Nawaombeni kwa mioyo mikunjufu kabisa tuwape pongezi kwa uamuzi wao wa kudondokeana. Ni matumaini yangu penzi lao litakua, litashamiri, na kuchanua kama maua ya waridi.
These two lovebirds take the phrase 'power couple' to a whole new level. I am excited and happy for them.
Hongereni Steve Dii na Gaijin (shem) :A S 8: