New couple alert

Aaah yaani siku hizi hapa kujua nani ni nani imekuwa kaaaazi kwer kwer....mara ghafla utaona B. Beauty kaingia mitini na kaibuka Beast na wana sound the same.
NN umemiss naniiii? mbn unataka kuanza name kollin and name creatn? mpk tutapoteza kuu lililo ktk topic i.e steve Dii na Gaijin
 
NN umemiss naniiii? mbn unataka kuanza name kollin and name creatn? mpk tutapoteza kuu lililo ktk topic i.e steve Dii na Gaijin

Hapana B. Beauty, wala siyo hivyo. Ni general observation tu niliyokuwa naizungumzia. BTW, naona umejiunga 2008....so it's fair to say wewe si mgeni hapa :becky::becky:. Au maybe or maybe not.

Haya tuendelee kuwajadili hawa mahabubu
 
Familia inakufanyia kampeni unadhani kuna haki hapo? (family yako ni Nyani Ngabu and Co).

Mtafute jamaa wa meli na mu'Mbumbuli wakukatie pande la kampeni... lol

Mbona akina Asprin na wapwaz wote huwa wanakupiga tafu si' hatusemi?!!
 
One can easily tell that you are a man of impressive erudition with a down to earth manner simply by reading your writings. Gaijin has truly hit the lotto....

i know that.............tell me something i dont!
 
Mtafute jamaa wa meli na mu'Mbumbuli wakukatie pande la kampeni... lol

Mbona akina Asprin na wapwaz wote huwa wanakupiga tafu si' hatusemi?!!
Kwa mujibu wa superman, hiyo bold ni tusi la kuchungulia nguoni walah.
Nipe namba ya makamba maana kama ujuavyo nyuki hutoa utamu yaani asali, Makamba na mikunjamano yake anaye binti bachela mwamvita ambaye naamini hiyana hana kwa mlilivu kama mie.
 
kampeni ya shuka kwa shuka utaiweza? :smile-big:
 
Back
Top Bottom