New Constitution: A Panacea?

JamiiForums

JF Official Account
Nov 9, 2006
6,202
5,012
Posted by Mzee Mwanakijiji | May 14, 2012

I don't know if my fellow Tanzanians have noticed that it seems as if that the answer to all our current problems, complaints, concerns and anxieties is being suggested to be the 'new constitution'? Ukiangalia utaona kuwa watu wakilalamika juu ya jambo lolote siku hizi wanaelekezwa kwenye "tume ya kukusanya maoni"? Kiasi kwamba, it is being suggested (or rather being implied) kwamba kama una jambo lolote linalohusiana na utawala mbovu, kutokuwajibika (au kutokuwajibishana) don't criticize, don't complain, don't point it but just go to the "commission"?

Bahati mbaya watu wengi wanafikiria Katiba mpya ni 'sure thing'; kwamba tutakuwa na katiba mpya ifikapo 2015! Hii si kweli! Katiba Mpya lazima ipitishwe na zaidi ya asilimia 50 ya wapiga kura ya maoni - a system which as I said a little while ago is inherently flawed! You know what that means?

Kwamba, kama katiba mpya haitapita katiba ya sasa itabakia ilivyo!! Matokeo yake ni kuwa watu hawafikirii kuifanyia marekebisho hii ya sasa na mifumo yake kwa sababu wameahidiwa ' a pie in the sky!'. Well... hakuna mtego ambao utawanasa wengi kama kukumbatia 'katiba mpya' na wakasahau kufanyia marekebisho ya sasa JUST TO BE SAFE!
 
Last edited by a moderator:

...We have.

...Hii inanirejesha kwenye ile hoja yako kuhusu sera mbalimbali na kama ni nzuri au la. Tatizo letu ni kuamini kuwa, kitu kilichowekwa kwenye karatasi kitafanya kazi -kimaajabu, maana katika hali halisi haiwezekani- bila juhudi yeyote iliyojawa na matumizi ya maarifa, raslimali na busara, kufanyika kuhakikisha kinatekelezwa na kuwa hai.

...Its as if matatizo yetu yote yatatatuliwa na katiba mpya. This is deadly wrong, and we'll be in for a very upsetting suprise.

...I mean the whole thing is bordering on naivity of the highest degree.

Bahati mbaya watu wengi wanafikiria Katiba mpya ni 'sure thing'; kwamba tutakuwa na katiba mpya ifikapo 2015! Hii si kweli! Katiba Mpya lazima ipitishwe na zaidi ya asilimia 50 ya wapiga kura ya maoni - a system which as I said a little while ago is inherently flawed! You know what that means?
...We will not have it by 2014. And trying to force things will only create chaos.

Kwamba, kama katiba mpya haitapita katiba ya sasa itabakia ilivyo!! Matokeo yake ni kuwa watu hawafikirii kuifanyia marekebisho hii ya sasa na mifumo yake kwa sababu wameahidiwa ' a pie in the sky!'. Well... hakuna mtego ambao utawanasa wengi kama kukumbatia 'katiba mpya' na wakasahau kufanyia marekebisho ya sasa JUST TO BE SAFE!
...Umeona eh!
 
A constitution has never been a panacea anywhere.

Yaani hata kama tungeandikiwa katiba na Malaika wazamivu wa sheria na demokrasia toka mbinguni (kama wapo); kama watu hawawezi kuwajibika inavyotakiwa kila mtu kwa nafasi yake yaani raia na viongozi basi katiba hiyo haitasaidia kamwe!!

Hoja yako ya pili pia ni njema ndio maana wengi walioona mbali tulisema kuwa suala lisingekuwa kubishana juu ya Katiba mpya au kufanya marekebisho ya katiba kwani vyote ni marekebisho tu! Hivyo articles zenye matatizo / mapungufu au ambazo zinatakiwa kuongezwa zingeangaliwa na wananchi wakapendekeza na tume kuziweka sawa kisha Bunge maalumu (sio hili lililolopo) likapitisha basi. Cha Muhimu ni Wananchi kujua haki zao na wajibu wao ili kuwajibika kwa nguvu zote, inavyopaswa.
 
Back
Top Bottom